kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tukuza hospitality

    SoC03 Ajira Lukuki za Vijana Kupitia Sekta ya Utalii Nchini Tanzania

    Utangulizi Wakati ninasoma, nilidhani kuwa watalii ni lazima wawe wazungu kutoka Ulaya, na pia nilidhani utalii unafanyika katika mbuga za Wanyama pekee. Nikiwa bado shuleni, nilibahatika kwenda pamoja na wanafunzi wenzangu kutembelea mbuga za Wanyama Manyara na Ngorongoro, tulipokuwa tunakutana...
  2. Mwl.RCT

    SoC03 Shairi: Ustawi Wa Taifa Kupitia Utawala Wa Sheria Na Usalama Wa Nchi

    Shairi: USTAWI WA TAIFA KUPITIA UTAWALA WA SHERIA NA USALAMA WA NCHI Imeandikwa na: MwlRCT Shairi hili linazungumzia jinsi utawala wa sheria na usalama wa nchi vinavyochangia ustawi wa taifa. Lina kusudi la kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu mambo haya. Linatumia dhana za utawala wa sheria...
  3. Abuxco

    SoC03 Kuleta mabadiliko ya kweli katika utawala bora na uwajibikaji kupitia sensa ya watu na makazi

    Sensa ya watu na makazi ni zoezi muhimu linalofanywa na serikali kwa lengo la kukusanya takwimu sahihi na za kina kuhusu idadi ya watu na makazi, na tabia zao. Sensa hutoa taarifa muhimu kwa maendeleo ya kitaifa na kimataifa katika maeneo kama mipango ya maendeleo, usimamizi wa rasilimali,na...
  4. NUMAN

    Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada. Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari. Kwa...
  5. T

    SoC03 Mawasiliano ya viongozi yawekwe wazi kurahisisha utoaji wa taarifa, uovu kutoka kwa wananchi

    Mawasiliano njia ya kupashana habari, kufikishiana jumbe na taarifa kati mtu na mtu au mtu na shirika, mwananchi na kiongozi/viongozi, mashirika kwa mashirika au viongozi kwa viongozi. Kukuwa kwa teknolojia kumerahisisha mawasiliano kufanyika kwa haraka hasa pale njia ya ana kwa ana inapokuwa...
  6. R-K-O

    Waziri Mkuu atamka tena kwenye Baraza la Eid kuwa DP-World wamepewa Bandari kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita ni sikivu. “Mjadala unaoendelea kuhusu bandari ya Dar es Salaam usitugawe Watanzania. Usipelekee tukasambaratika...
  7. Stephano Mgendanyi

    Wakurugenzi Wapewa Saa 48 Kupeleka Benki Bilioni 2.4 Iliyokusanywa Kupitia POS

    WAKURUGENZI WAPEWA SAA 48 KUPELEKA BENKI BIL. 2.4 ILIYOKUSANYWA KUPITIA POS Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali Mhe. Deo Ndejembi (Mb) amewagiza Wakurugenzi wa Halmashauri ambazo zimekusanya mapato kupitia mfumo mpya wa TAUSI na hawajapeleka fedha benki kuhakikisha fedha...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa. --- Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
  9. G

    SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji kupitia Teknolojia ya Mawasiliano

    Tanzania inakabiliwa na tatizo la uwajibikaji duni kwa viongozi wa umma na watumishi wa serikali katika nyanja mbalimbali. Hali hii imesababisha kushuka kwa kiwango cha utawala bora na kuhatarisha ustawi wa jamii. Hata hivyo, teknolojia ya mawasiliano inaweza kutumika kuleta mabadiliko chanya...
  10. T

    SoC03 Watanzania tunufaike na nini kupitia nursery schools

    Ni miongo mingi imepita huku nchi ya Tanzania ikishindwa kufanya vizuri kwenye suala la ushindani wa soko la ajira kulinganisha na mataifa mengine ya nje na yale ya jirani katika kuwasilisha “maudhui” yetu kupitia vijana wanaotumia nguvu kubwa katika kupambana na umaskini ili wajikwamue kwenye...
  11. J

    Zaidi ya Tsh. Bilioni 822 za TARURA kuwanufaisha wananchi kupitia RISE

    ZAIDI YA BILIONI 822 ZA TARURA KUWANUFAISHA WANANCHI KUPITIA RISE Wananchi katika Mikoa ya Iringa, Tanga, Lindi na Geita wanatarajiwa kunufaika na Mradi wa Uboreshaji wa Barabara Vijijini kwa Ushirikishaji wa Jamii na Ufunguaji wa Fursa za Kijamii na kiuchumi (RISE), ambapo zaidi ya shilingi...
  12. Baba jayaron

    Hatuwezi kupeleka Mahakamani zuio la makubaliano ya Bandari kati ya DP World na Serikali?

    Natumaini mu wazima na wavumilivu wa hali kwa jina la Mwenyezi. Kabla ya yote nimpongeze kijana Bwana Wangwe kwa ushindi mkubwa alioupata kwa niaba ya watanzania wote. Ushindi wa zuio la wakurugenzi kusimamia uchaguzi mahakamani ni kuchonga barabara ya haki iliyokua iki kanyagwa mara kwa mara...
  13. Street brain

    Ukifanikiwa wafanye wengine pia wafanikiwe kupitia wewe

    Jambo letu Haitoshi tu kuwa na mafanikio makubwa bali tumia nafasi hiyo kuwasaidia wengine kufanikiwa pia. Tunaelewa ili ufanikiwe ulipita vikwazo vingi, ulishinda mengi; tumia muda huu kuwa mwalimu wetu. Maendeleo ni kama bahari na hakuna bahari yenye kisiwa kimoja na kisiwa hakizuii kingine...
  14. peno hasegawa

    Njia ya kumteua Makamu wa Rais kupitia ccm iangaliwe upya ina kasoro

    Namna ya kumpata Saa100 mwaka 2015 kupitia ccm kuna mahali ccm walibugi step. Hii mikataba tunayoiona ikisaini Dubai na kutoa bandari zote kwa kampuni moja hata hatujui bodi members wake ni akina nani?inatokana na namna ailivyopatikana kupitia ccm.
  15. R

    Nilichojifunza baada ya kupitia mikataba ya makubaliano mbalimbali ya DP World

    Haya nimejifunza baada ya kupitia vyombo vya habari na mitandao mbali mbali kuhusu mikataba ya makubaliano ambayo Dp World waliingia sehemu mbali mbali; 1. DP World ni kampuni kubwa duniani hasa kwenye masuala ya uendeshaji Bandari. 2. Makubaliano maeneo ya uwekezaji na matokeo ya uwekezaji ...
  16. General Nguli

    Nahitaji kuangalia Fainal ya UEFA Champions nyumbani kwangu kupitia Laptop.

    Wakuu naomba kujuzwa jinsi nitakavyo faidika kuangalia Uefa nikiwa kitandani na Laptop yangu. Msaada pliz
  17. Ali Nassor Px

    SoC03 Kupitia wasanii wa sasa, je tunaenda kutengeneza kizazi cha aina gani hapo baadae na nani awajibike?

     UTANGULIZI Msanii ni mtu anayetumia lugha kufikisha ujumbe( kazi zake za sanaa) kwa jamii. kwa lengo la kuburudisha na elimisha. Katika kutoa maana halisi ya fasihi simulizi kwenye kipengele cha msanii (mwanafasihi) kuna mtazamo unasema 'Msanii ni kioo cha jamii'. Kioo kazi yake kubwa ni...
  18. B

    Benki ya CRDB kuwazawadia Sh. Milioni 15.4 ya Ada ya Shule wateja kupitia Akaunti ya Junior Jumbo

    Meneja Mwandamizi wa Mauzo Benki ya CRDB, Muhumuliza Buberwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Timiza Ndoto yake na Junior Jumbo” yenye lengo la kutoa elimu ya fedha kwa watoto na kuwahamasisha wazazi/ walezi juu ya umuhimu wa kuwawekea watoto wao akiba ambapo...
  19. GoldDhahabu

    Watu walionufaishwa na Usomaji wa Vitabu

    Msomaji wa Vitabu anafahamu jinsi Vitabu vilivyo na umuhimu mkubwa sana katika maisha ya kila siku. Vilikuwa muhimu tokea zamani, lakini katika zama hizi, umuhimu umeongezeka mara nyingi sana. Pamoja na umuhimu huo, kungali kuna idadi kubwa ya Waafrika, Watanzania wakiwemo, ambao hawaupi vitabu...
  20. M

    Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

    Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya...
Back
Top Bottom