Naandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kugundua kwamba miezi miwili sasa imepita bila kuwa na mwendekezo mzuri wa kuonyesha mechi za ligi kuu ya nbc,ndani ya mwezi unaangalia game mbili au tatu halafu unatakiwa kulipia tena.
Kwa mfano weekend hii iliyoisha kulikua na shida gani mpaka...
Kwa sasa hali imebadilika taasisi na mashirika mengi ya umma yanaajiri yenyewe kupitia Portal zao bila kuhusisha utumishi au Ajira portal. Leo hiii watu wanaomba kazi TRA kupitia portal ya TRA. NSSF pia watu wanamba kupitia uko na taasisi nyengine za umma.
Je, kuruhusu Mashirika na Taasisi za...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Aisee katika siku ambazo mimi siwezi kuzisahau katika maisha yangu, basi leo ni moja wapo ya siku hizo.
Mr Dudumizi nilianza darasa langu la kwanza katika shule moja iliyopo Mburahati jijini Dar es salaam. Shule hiyo kama zilivyo au zilivyokuwa shule nyingi za Dar...
Habari,
Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda
Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
Ukuaji wa Pato la Taifa kupitia Sekta ya Bima Nchini inatajwa kukua kwa kipindi cha miaka mitano ambapo mauzo ghafi ya Bima yameongezeka hadi kufikia Trilioni 1.2, ukilinganisha na ongezeko la shilingi Bilioni 691.9, mwaka 2018.
Akitoa ufafanuzi wa ongezeko hilo, Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka...
AINA 3 ZA WATU KATIKA MAISHA YAKO..
1. Watu Majani
2. Watu Tawi
3. Watu Mizizi
Watu Majani:
Hawa ni watu ambao wanakuja katika maisha yako kwa msimu tu. Huwezi kuwategemea kwa sababu ni dhaifu. Wanakuja kuchukua tu wanachotaka, lakini upepo ukija wataondoka nao.
Unatakiwa kuwa makini na hawa...
nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva.
Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia...
Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma...
Indian Prime Minister Narendra Modi shakes hands with Nigeria President Bola Ahmed Tinubu upon his arrival
Sisi tunakwama wapi? Wahindi wanaona fahari sana kutumia mavazi kama njia ya kutambulisha utaifa wao, hali kadhalika wa-nigeria. Waarabu pia wako vizuri katika hili.
Hivi imeshindikana...
Rais Samia kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na Watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya wananchi ni namna gani wameupokea mkataba wa Bandari ambao umekuwa gumzo kuu hapa nchini.
Rais Samia...
Habari Wananchi
Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza!
Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni!
Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta:
Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake,
Anapotafta eneo...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 3,2023 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla ya kusimikwa na kuwekwa wakfu kwa Mhashamu Askofu Thomas John Kiangio Kanisa Kuu la Mtakatifu Antony wa Padua, Chumbageni Mkoani Tanga.
Chanzo: owm_tz
Na Ibada ya Jumapili ijayo katika moja...
Hellow,
Mlio wahi kuagiza vitu kupitia alibaba hali ipoje je ni kweli bei ina uhalisia na je mzigo uwa unachukua muda gani kukufikia yaani ki ujulma nataka kujua zaidi usalama uaminifu na muda wakupokea mzigo.
Habari wakuu,
Natamani kuufahamu mji wa Kahama kupitia picha. Kama una picha zozote za mji wa Kahama, picha za mitaa, makazi ya watu, viwanja vya michezo, hoteli, shule, hospitali, mito, madaraja, mabonde, barabara, milima, majengo ya ofisi, mitaa ya ushuani, uswazi, masoko, utalii, ofisi za...
Makampuni ya michezo ya kubahatisha yameendelea kuongezeka kwa kasi sana nchini Tanzania kuliko nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki.
Ongezeko hili linachagizwa na ukweli usiopingika kuwa kumiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha ndio njia rahisi zaidi ya kuvuna pesa kutoka kwa watu wa...
Wakubwa zangu poleni na uchovu.
Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali.
Naishi maisha Magumu mno. hii ni
Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki.
Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri...
Siyo kweli kwamba uwekezaji hauna faida au hasara Kwa mstakabali wa Taifa. Lakini hoja ya bandari imefunua mioyo ya wengi na kuonesha hatari iliyoko katika nchi yetu.
Tanzania hatutakuja kupigana vita ya wenyewe eti Kwa sababu ya kisiasa. Ccm Ina nguvu sana kuweza kutawala hata miaka hamsini...
Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa...
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi.
Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.