Hakuna Mungu wa kuzuia wewe usife kwa kuwa unamshukuru kwa uhai!
Hakuna Mungu wa kukulinda, kwa vile eti unamshukuru kwa uhai!
Utakuta watu wanajipa matumaini uchwara ya kijinga, Eti.....
"Ukiamka salama asubuhi, shukuru Mungu"
"Ukienda kazini na kurudi nyumbani salama, Shukuru Mungu"...