Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?
Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema.
Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini anayetamani kufa mapema ili akaishi maisha ya raha mbinguni, wote wanaomba kuishi maisha marefu.
Labda wanaharakati wa dini wanaojilipua na kufa kwa kujitoa mhanga ndio wanaoamini kuna Pepo kweli yenye kila raha.