Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
- Thread starter
- #21
Huijui kivipi wakati kuna maandiko tele kuelezea kuhusu mbinguni au peponi jinsi kulivyo kuzuri, hakuna shida, hakuna kufa, hakuna njaa, hakuna huzuni n.kShida ni ule uhamisho wa ghafla tena bila malipo. Hofu ni kubadilisha mazingira, kutoka sehemu uliyoizoea na kwenda sehemu ngeni kabisa ambayo haujui mazingira yake wala huna uzoefu nayo. Hapo ndipo hofu kuu ilipo