Hofu ya kifo inatoka wapi ikiwa mbinguni, peponi kupo kweli na sio story tu?

Hofu ya kifo inatoka wapi ikiwa mbinguni, peponi kupo kweli na sio story tu?

Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?

Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema.

Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini anayetamani kufa mapema ili akaishi maisha ya raha mbinguni, wote wanaomba kuishi maisha marefu.

Labda wanaharakati wa dini wanaojilipua na kufa kwa kujitoa mhanga ndio wanaoamini kuna Pepo kweli yenye kila raha.
Ni suala la mda tu mkuu!
 
Binadamu wako serious na maisha ya duniani ,mwingine mpaka ananunua hisa na kujenga wakati ni sehemu ya kupita tu.
 
Wapi huko,au stori za You Tube
Siku hizi kuna hadi Ai ukitaka kuverify matukio ya hii dunia unaiuliza tu inakupa links kama hakuna inasema hakuna.
 
Watu wasiokuwa na hofu ya kifo ni wale wenye Imani katika Yesu Kristo km mtume Paulo na Babu Simioni.Hawa walitaka wazi kwamba wako tayari kuondoka.Hata sisi tukiwa na Imani ya Kristo kweli kweli kufa hakuna hofu
 
Back
Top Bottom