Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Hakuna Mungu wa kuzuia wewe usife kwa kuwa unamshukuru kwa uhai!
Hakuna Mungu wa kukulinda, kwa vile eti unamshukuru kwa uhai!
Utakuta watu wanajipa matumaini uchwara ya kijinga, Eti.....
"Ukiamka salama asubuhi, shukuru Mungu"
"Ukienda kazini na kurudi nyumbani salama, Shukuru Mungu"
"Ukienda safari na kurudi salama, Shukuru Mungu"
"Kama huumwi ugonjwa wowote, Shukuru Mungu"
Zote hizi ni kauli uchwara za kijinga za kujipa matumaini hewa na kujifariji dhidi ya kifo. Hakuna Mungu wa kuzuia wewe usife kwa kuwa unamshukuru.
Kumshukuru Mungu asubuhi, kwa kuwa umeamka salama, sio kinga ya kwamba hutokufa. Lazima utakufa! Kuna siku utakufa tu!
Na hakuna Mungu wa kuzuia wewe usife!
Kuna asubuhi moja itafika na utakuwa tayari umeshakata motoo! Ni suala la muda tu.
Unakuta ajali imetokea, watu baadhi wamekufa, kadhaa wamepona.
Halafu mtu anaropoka huko;
"Nashukuru Mungu kwa uhai kwani ni wangapi walitamani kuona siku ya leo, lakini wamekufa"
Mtu huyu anadhani kwamba yeye ni "special" sana kwamba akimshukuru Mungu kwa uhai, Kifo hakitomfikia. Kumbe ni ujinga tu na imani za kipumbavu.
Kila mtu atafikiwa, ni suala la muda tu. Kila mtu atakufa.
Na hakuna Mungu wa kuzuia wewe usife kwa kuwa eti, unamshukuru kila siku.
I'm out.