Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameeleza kuwa robo tatu ya matukio yaliyoripotiwa ya watu kutekwa na kupotea kwa mwaka 2023 tayari yamepatiwa ufumbuzi.
“Sio kwamba labda watu wanapotea halafu hakuna kinachofanyika, watu hawawapati wahalifu, hawawapati wahanga sio sahihi, ameeleza...