Taarifa zilizo rasmi za kiutafiti katika mikoa ya LINDI na Mtwara yapo majimbo takriban 11 ambayo yapo hatarini kupotea. Majimbo hayo ni kama ifuatavyo,
1. Kilwa Kaskazini
2. Kilwa Kusini
3.Nachingwea
4. Lindi Mjini
5. Liawale
Kwa upande wa Mkoa wa Mtwara ni,
1. Mtwara Mjini
2. Tandahimba
3...
Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi.
UNAJUA ALISMAJE?
Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa...
Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao.
Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya...
Kama ni kitengo basi wamefanya kazi bora kabisa
Najua kitengo wana uwezo mkubwa wa kipropaganda kumuaminisha mtu kuhusu jambo na kwamba watamsaidia kulifanikisha na ikibidi kumwambia kwamba sponsor yuko pamoja naye.
Nadhani kwa makonda,kama wamefanya hivyo,basi wamefanya jambo bora kabisa...
Kuna benki inayohifadhi mbegu za mimea yote duniani kutoka nchi zote duniani ili mimea isije potea.Ikipotea waweza kwenda ku draw ukapewa kupanda nchini kwako.
Benki yenyewe hii hapa
Maisha haya wamejaa mambo mengi sana hasa ya utafutaji.
Je, umeshawahi kupotezana na ndugu yako wa tumbo moja, binamu yako, Baba Mkubwa au Baba Mdogo, Shangazi, Mama au Baba, Bibi au Babu, Mpwa, rafiki yako au hata jirani yako, Baba Mkwe au Mama Mkwe unawasikia sikia tu wapo mahali fulani...
Bingwa wa magonjwa ya kuambukiza, Profesa Matteo Bassetti amesema Ukali wa #CoronaVirus umepungua hivyo inaweza kuisha bila kuwa na chanjo
Mtaalamu huyo wa kiitaliano amesema, #COVID19 imetoka kuwa chui mkali hadi kuwa paka mwitu. Kwa sasa ndani ya Italia hata wazee hupumua bila vifaa
Mtaalamu...
TAARIFA YA KUPOTEA KWA NDUGU FAKHRU ISSA ABEID (MAARUFU OSAMA)
TAARIFA KWA KUPOTEA NDUGU FAKHRU ISSA ABEID WA DAR ES SALAAM (AL MAARUFU OSAMA) BWANA FAKHRU ALIYEPOTEA KATIKA MAZINGIRA TATANISHI MAENEO YA VIGWAZA TSN PETRO STATION KITUO CHAKE CHA KAZI ,
SIKU YA ALKHAMIS 04/06/2020 MAJIRA YA SAA...
Katika kuangalia NACTE Admission Guide 2020/2021 ya June 15, 2020 nimegundua vyuo vingi vimefuta utunukiwaji wa Technicians Certificate na badala yake wanadahili waombaji kwa program za Ordinary Diploma miaka 3.
Sifa zinazotakiwa kwa ujumla ni zile zile kama za kusoma Technician Certificate...
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Fresh ya Shamba
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana...
Miaka saba liyopita, Dr Ruja alikuwa akifanya kazi kama mshauri katika shirika moja la kimataifa linahusiana na mambo ya kifedha. Akiwa hapo, ndipo aliposikia habari za bitcoin, pesa mpya ya kimtandao ambayo ilikuwa imeanza kukua kwa kasi ya ajabu ikiwa huru bila kuhodhiwa na benki kuu. Bei ya...
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.
Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka...
AU report estimates 20 million job loses in Africa due to coronavirus
A recent African Union (AU) study reveals that about 20 million jobs are at risk on the continent as a result of the impact of the coronavirus pandemic.
Most African economies are projected to shrink this year due to the...
RAIS MAGUFULI "HUYO ANA USHAHIDI, MSHIKENI MPAKA ATOE USHAHIDI"
Siku hizi kumekuwa na tabia ya hovyo imejitokeza kwa baadhi ya Watanzania wachache. Kila kitu kinachofanywa ni Usalama wa Taifa, mtu akipotea siku mbili hata kama hajapotea yupo kwa mpenzi wake ni Usalama wa Taifa.
Niviombe vyombo...
Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka
Siku chache kabla ya kupotea katika mazingira yasiyoelezeka, kada wa Chadema, Ben Saanane alifanya mambo mengi kama mawasiliano yake binafsi na pia ya chama chake.
Hata hivyo, kati ya mawasiliano hakuna kilichosaidia kung’amua ni katika...
Leo (21/11/2019) imetimia miaka miwili kamili tangu mwandishi wa magazeti ya #Mwananchi na #TheCitizen Azory Gwanda kupotea huko Kibiti, Wilaya ya Rufiji baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana. #Miaka2BilaAzory
======
Leo inatimia miaka miwili kamili tangu mwandishi wa habari...
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Tanzania(IGP) Simon Sirro amesema uchunguzi juu ya kupotea kwa mwandishi wa habari za Uchunguzi Azory Gwanda wa gazeti la mwananchi unaendelea kwani wameshafungua jalada la uchunguzi, huku akiwataka watu kama wana taarifa kuhusu tukio hilo kuzifikisha polisi na si...
Nauliza swali hili very technically
Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza
Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema
"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.