Wana JF,
Kama ulikuwa hujui, kundi pekee la kibongo lilioanzoshwa chini ya Juma Nature na Chege Chigunda ndilo kundi pekee lililokuwa linashambulia jukwaa, kiasi kwamba kwenye kiti linahakikisha Hawaii mtu.
Hata hivyo nashindwa kuelewa walifeli wapi? Mfano tuliambiwa Juma Nature alipata pesa...
Mondi azidi kuonyesha kwamba yeye ndiye mfalme wa East africa 🌍 kutokana na kuwa namba moja kwenye list ya watu walioangaliwa zaidi mjini YouTube .......
Ushauri wangu watanzania tuhamasishe wasanii wetu wafanye muziki na sio kulia lia kwenye media
Heshima kwenu wakuu..
Aisee, jino lilikuwa linauma jioni hii kupita maelezo, nikarudi zangu home kuna K Vanga kubwa ilibaki jana kwenye mwanamke nyonga nikasema ngoja niikate taratiiiiibu, baada ya kugonga K Vanga nashangaa maumivu ya jino yameisha kabisa wakuu.
Hivi, Kuna Uhusiano Gani Kati...
Lindi. Watu watano wakazi wa Kijiji cha Rutamba Halmashauri ya Mtama wanadaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), wamepotea tangu Oktoba 30, 2021.
Katibu wa CUF Wilaya ya Lindi, Shadhil Bosha amesema kuwa watu hao waliopotea ni wanachama wa chama hicho akidai kuwa walichukuliwa na...
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Polisi bado wanachunguza kutoweka kwa mwandishi wa habari maarufu wa Tanzania Azory Gwanda ambaye alitoweka mwaka 2017, amesema Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Jumapili mjini Mwanza.Msigwa amesema hakuna taarifa mpya ya...
Nimesikitika sana kuona @dr_chriscyrilo yupo ndani siku 3 lakini hakuna main stream media iliyojishughulisha kuripoti zaidi ya @bbcswahili. Yani media za Ulaya zinaumizwa na matukio ya uonevu na zinaonesha kujali zaidi utu wetu kuliko media zetu? Seriously? Mnataka nani "akamatwe" ndio mripoti...
Hii mada inawalenga sana wale wenye mishe misheza manunuzi kariakoo.
Aisee kama huna uzoefu na ile mitaa, hasa ile ya nguo, nakushauri ukinunua mzigo wako ukiona huwezi tembea nayo bora utafute hoteli ulipie uwe unakusanyia mizigo yako hapo.
Mimi sio mgeni wa k.koo hata kidogo, ila juzi ni...
Hili wala hatutaki kukificha kwa sababu kila siku tukiwakumbuka ndugu zetu hawa tunabubujikwa machozi yaliyojaa maumivu makali na huenda hata damu hutokea kwenye machozi haya. Tunajua waliohusika na kuwapoteza hawa watu ni wanadamu na wala si wanyama, Laana ya mwenyezi Mungu iwatafune milele na...
Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.
Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
Pia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.
Lady Jaydee ndiye gwiji wa Bongofleva kwa upande wa kinadada. Ana miaka 21 katika hii gemu tangu alipoachia wimbo wake wa Machozi mwaka 2000.
Amewezaje kudumu katika gemu kwa miaka yote hiyo wakati kuna Wasanii wa kike kibao ambao walimkuta akiwa juu na wamefutika akiwa juu? Hili ni swali...
Mh Rais, mama yetu mpendwa Samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu Kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe Tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake.
Mama kilio cha...
Asili ya miti au zao hili ni Asia, Waarabu na wafanyabiashara walileta zao hili Tanzania miaka ya 1600-700. Minazi ya asili hi chukua miaka 10 tangu kupanda mpaka kuvuna au kuangua Nazi. Mti wa mnazi hustaamili ukame na una maisha ya miaka 100 tangu kupandwa.
Kilimo cha minazi kiliwafaa...
Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda.
Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na...
Frederick Valentich ni rubani mwanafunzi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa katika mazoezi kwenye ndege ijulikanayo kama Cessna 182L light aircraft mnamo 21 October 1978. Tukio lililo acha maswali mengi ambayo yamekosa majibu mpaka leo kwani Nadharia za mamlaka na maofisa wa...
Dudubaya amepotea tokea 13 agosti, 2020 , leo ni miezi sasa lakini ukimya ni mkubwa,
hata km alitukana watu lakini thamani ya uhai ni kubwa kuliko matusi yake.
Dudubaya yupo wapi?
Mimi ni shabiki wa huyu mwamba wa dance pale WCB.
Mose mdogo wangu umejiachia sana unene na kitambi. Kama unataka mema kwenye kazi yako hima hamia gym na anza diet.
Dancers wazuri kama Michael Jackson, Usher, Chris Brown huwa hawana vitambi kama wewe.
Nimeambatanisha picha za video mpya ya...
Naam, hiyo ndiyo Tanzania na hao ndio viongozi wa chama tawala wanaotaka tuwape ridhaa ya kuendelea kututawala kwa miaka mingine mitano. Cha ajabu ni kwamba wapo Watanzania wenzetu ambao wako tayari kutoa ridhaa hiyo bila hata kuhoji.
Kitu kimoja kilicho wazi ni kwamba tukifanya makosa tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.