Maisha haya wamejaa mambo mengi sana hasa ya utafutaji.
Je, umeshawahi kupotezana na ndugu yako wa tumbo moja, binamu yako, Baba Mkubwa au Baba Mdogo, Shangazi, Mama au Baba, Bibi au Babu, Mpwa, rafiki yako au hata jirani yako, Baba Mkwe au Mama Mkwe unawasikia sikia tu wapo mahali fulani...