Bakhmut inandelea kuwa kichinjio cha Warusi, wamefia sana pale na wanasogeshwa nyuma, hivi kwenye vitabu vyao vya historia, itaandikwa walifia nini hapo Bakhmut maana hivi karibuni wataondolewa kabisa, wamekufa zaidi ya 100,000
After the successful offensive actions, the Armed Forces of Ukraine...
Baada ya purukushani za muda mrefu sana na haya maisha nimegundua kukosa umakini wa kufikiri na kuamua mambo kwa weledi yamepeleka mahusiano ya mapenzi kuwa ndio chanzo kikuu cha watu wengi kupoteza mielekeo mizuri ya maisha.
Ujana, utu uzima na uzee una mambo mengi sana ambayo huwezi...
Inadaiwa kuwa beki huyo wa kati anayehusishwa kuondoka ndani ya Manchester United hata ikitokea akabaki kikosini anaweza kupoteza cheo cha kuwa nahodha mkuu wa timu badala yake nafasi hiyo ikaenda kwa Bruno Fernandes.
Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika wiki hii kutokana na Kocha wa United, Erik...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha kumkamata Veronica Petro (24) mkazi wa Wilaya na Mkoa wa Songwe akituhumiwa kumuua mtoto wa mume wake, Mageshi Usiga (7) aliyekuwa akimlea.
Kamanda wa polisi mkoani humo, Theopista Malya, amesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya mtoto huyo...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Hivyo ndivyo navyo weza kusema kwasababu ni kama viongozi waliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania na kuhakikisha mali na usalama wa maisha yao unalindwa kwa wivu mkubwa.
Hizi ajali zinazoendelea kuwamaliza watanzania na kuwaacha wengi wakiwa na...
Imekuwa kawaida mtu anapokuwa anatarajia kuoa/kuolewa kutoa kadi za michango kwa ndugu, jamaa na marafiki ili wakamilishe jambo lao.
Kimbebe kinakuja pale umepewa kadi halafu kutokana na changamoto mbalimbali ukashindwa kutoa mchango huo. Jamaa huwa hawaelewi na ndio inaweza kuwa chanzo cha...
Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini Ulaya kilianza miaka ipi na karne gani?
Simple fact:
Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu...
Wakuu salama kama kichwa kinaojieleza hapo juu tunatoa huduma ya kusafisha masink yalyofubaa kwa wakazi wa jiji la dar es salaam tunakuja popote ulipo ndani ya jiji hili.
Gharama ni 10k kwa vyoo na 6k kwa masink ya kunawia.
Kama una uhitaji njoo PM au piga namba 0783672221.
Karibuni
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya lori lenye kontena kufeli na kuparamia wafanyabiashara na kwenda kuingia moja kwa moja kwenye jengo lenye ofisi za michezo ya kubahataisha katika eneo la Yombo Vituka Mwisho wa Lami.
Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 13, 2023...
Salaam Wakuu
Teknolojia ya bandarini haitamuacha mtu salama. Inabidi watu wakarudi kusoma pale chuo cha bandari Temeke ambacho kinaenda kuwekewa vifaa vya kisasa vya kufundishia.
Hivi karibuni Kampuni ya AD Ports Group ilisaini mkataba na kampuni ya Adani na SEZ Ltd kwa ajili ya uwekezaji wa...
Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa - TISS ambao kwa ujumla wake una mapungufu mengi ikiwemo kuwapa kinga ya makosa ya jinai kwa maafisa wa idara hiyo. Jambo hili limezua mijadala maeneo tofauti watu wakiuliza Rais Samia anataka kuwatumia maafisa...
bunge
bunge la tanzania
hata
haya
idara
kinga
kupoteza
kuua
maafisa usalama
majukumu
muswada
sheria
sheria ya usalama wa taifa
taifa
tanzania
tatizo
tiss
usalama
usalama wa taifa
wafanyakazi
wake
Salaam ndugu zangu,
Nimekutana na video fupi ikionesha Rais wa TFF Wallace Karia akisema kwamba itakuwa si vizuri kwa Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo.
Je, kuna ukweli wowote wa juu ya hili? Tusaidieni kumhoji
Picha1: Sehemu ya Tweet inayomlaumu Rais Karia kwa kauli...
Suma jkt na tff lazima wabebe lawama hii kulikuwa na haja Gani ya kutumia polisi ..maji ya kuwasha na virungu kwa raia wasio na hatia na viingilio wamelipwa?
Hi wanajukwaa
Nimekuja mji x kikazi,nimefika kwenye saa 12 jion,nikabook hotel,nikaoga na kupumzika kidogo.
Mida ya saa 2 usiku wadau wakanipitia room kwangu,tukatoka kupata chakula,then vile ni wikend wakasema tukae tule bata na kuinjoi mziki.Tumeinjoi hadi mida ya saa 4 usiku,mie nikaona...
Zipo picha nyingi za ikulu ile ya awamu ya kwanza. Huwa zinatukumbusha mambo mengi, yakiwemo mazuri na mabaya pia. Ni kumbukumbu zinazotunzwa ili angalau ziwaonyesha watoto na wajukuu ule utamaduni mzima wa uongozi wa awamu ya Mwalimu Nyerere ulikuwa vipi.
Ipo picha ya Mwalimu akiendesha...
Hata kwenye vita vya Afghanista, Urusi haikupoteza wanajeshi ewengi kiasi hiki....
The head of the Russian private army Wagner says his force lost more than 20,000 fighters in the drawn-out battle for Bakhmut, with about 20% of the 50,000 Russian convicts he recruited to fight in the 15-month...
Raila Odinga ni mpigania haki nguli wa wakati wetu. Amaarufu GOAT, kama alivyotambuliwa Messi Qatar, 2023.
Maneno ya Odinga kwa wafuasi wake ni sheria.
Leo wako mapumziko, kujipanga na kuja na nguvu mpya na kasi mpya. Tukutane kesho Tahrir.
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir...
Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko.
Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya halali, umri miaka 24.
Habarini wadau,
Nimepatwa na changamoto ya gari kutowaka, yaani ukibonyeza push start button haikubali as if mawasiliano kati ya funguo na button hayapo.
Tatizo lilianza kidogokidogo kuna wakati mpaka urudie rudie ndio ikubali, ila sasa hivi haikubali tena. Yaani ukiweka switch on itadisplay...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.