kupunguza foleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bashungwa: Barabara za mwendokasi ambazo hazijaanza kutumika, zitumike kwa magari binafsi ili kupunguza foleni

    Waziri wa Ujenzi wa Tanzania Innocent Bashungwa ametoa ushauri wa Mamlaka husika kuruhusu barabara zinazotumiwa na Mabasi ya ‘Mwendokasi’ ziwe zinatumika na magari binafsi hususani wakati wa asubuhi kwenye kuwahi kazini na jioni wakati wa kurudi nyumbani na kusema hiyo itapunguza foleni hasa...
  2. Andiko la kimkakati na kibunifu kuhusu kupunguza msongamano wa magari katika Dar es Salaam

    Utangulizi Dar es Salaam, ikiwa ni moja ya miji inayokua kwa kasi Afrika, inakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari. Hali hii husababisha kupoteza muda mwingi, kupunguza ufanisi wa kiuchumi, na kuathiri ubora wa maisha ya wakazi wake. Andiko hili linatoa mapendekezo ya kimkakati na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…