Dominick Hokororo
New Member
- Dec 16, 2025
- 1
- 0
Habari zenu!
Kutoka mbagala rangi tatu mpaka mbezi mwisho ni wastani wa kilomita 36.5km, let's say serikali inatoa tenda na kibali cha usafirishaji wa raia kutoka mbagala hadi mbezi mwisho kwa kampuni Moja binafsi kama ilivokuwa kwa barabara za mwendokasi ili kupunguza foleni itokanayo na idadi kubwa ya magari na vyombo vingine vya usafiri kwenye mkoa wa daresalaam ikiwemo daladala.
Pia kupunguza kadhia ya mlundikano wa watu na kugombania daladala na changamoto zingne kutokana na idadi kubwa ya watu kwenye jiji la daresalaam.
Hivyo kuwepo na kampuni binafsi moja ambayo itatoa uhakka wa mabasi makubwa mengi kwenye route moja ili kupunguza changamoto tajwa hapo juu. Mfano wa route ndefu ndani ya jiji la daresalaam ni hizi;
Mbagala – Gerezani / Posta → ~15–17 km
Tegeta – Posta (via Bagamoyo Road) → ~18km
Tegeta – Kivukoni (Bagamoyo Rd)~18–20 km
Bunju – Posta~20 km
Kigamboni – Kimara ~23–25 km (via Nyerere Rd & Morogoro Rd)
Mbagala – Mwenge~20 km
Goba – Posta~22 km
Kibamba – Posta~25 km
Pugu – Kariakoo~20 km
Tabata – Tegeta~18 km
Ubungo – Kigamboni~17–19 km na zinginezo.
Kwaiyo nashauri kuwepo na Articulated Buses ambazo zinauwezo wa kubeba abiria 150-160,ambazo ni mara mbili ya daladala za kawaida. Uwepo kwa bus hizi zitapunguza magari binafsi mengi kwasababu watu wengi wataweza kwenda maeneo mbalimbali bila changamoto yoyote,hasa wafanyakazi wa serikali na binafsi, wanafunzi na watumiaji wa kawaida.Pia kupunguza idadi ya daladala ambazo kiuhalisia ni mbovu na zimechoka,tujaribu kuiga nchi zilizoendelea kama Germany, Belgium, Nordic countries,China,Singapore,Malaysia,Japan,USA.
Pia nimeona vitu kadhaa vikizingatiwa itakuwa Bora zaidi;
1. Free wifi ndani ya bus na kwenye vituo
2. Ujenzi wa vituo vyake mwenyewe sehem ambapo hamna vituo(vituo vidogo)
3. Kuwepo na dustbin kwenye Kila kituo kupunguza uchafuzi wa mazingira
4. Kibali Cha Miaka 10
5. Ifanyike kwa route zenye idadi kubwa ya watu na changamoto ya usafiri.
ONLY POSITIVITY
Dominick Hokororo
GEN-Z