UTANGULIZI
Masaaki Imai Mkufunzi wa kijapan wa mifumo ya ubora maarufu kama “kaizen” aliwahi kusema “siku moja isipite bila kuhakikisha kuna mahali umeboresha katika kazi/ chombo chako na maisha yako.Hata kama ni padogo kiasi gani.
⛽ Kwa miaka mingi vyombo vya moto vinavyoingia nchini...
ECONOMIES OF SCALE
Hiki ni kitendo cha kupungua kwa gharama ya uzalishaji (Average cost) kadri ya uzalishaji wa bidhaa unavyoongezeka.
Njia ambazo zitamsaidia mfanyabiashara kupata economies of scale ni kama zifuatazo:
1. Kununua mahitaji yanayohitajika katika uzalishaji kwa bei ya jumla...
Takukuru ni Moja ya Taasisi nyeti sana na ambayo inapaswa isimame katika misingi ya haki kwani hata majukumu yake yamejikita katika kutenda na kutetea haki.
Hivi karibuni mmetoa orodha ya majina ya vijana mliowaita kwenye usaili wa ana kwa ana oral interview, orodha ambayo imeacha maswali mengi...
Na Fadhili Mpunji
Katika miaka ya hivi karibuni sekta ya Tehama imekuwa na maendeleo makubwa katika nchi mbalimbali za Afrika, maendeleo ambayo si kama tu yamekuwa na manufaa kwenye mawasiliano, habari na utangazaji, bali pia yamekuwa na manufaa makubwa kwenye sekta za afya, elimu, biashara na...
Kwanza kabisa ningependa kujua uwepo wenu humu kama mpo au hampo na kama mpo mje mtupe majibu kwanini huduma hii ni mbovu hivi?
Ubunifu huu nauunga mkono wa kuji-hudumia au kuomba vyeti Online ila shida inayowakumba waombaji ni kubwa mno kuliko raha wanayopata baadhi.
Mwaka huu ulivyo anza...
Wana JF
Ukifika mwenge unaweza kustaajabu jengo lililokuwa linajengwa kwa kasi ya ajabu mwenge kutelekezwa baada ya kifo cha Hayati MAGUFURI huku wamachinga wakihaha kufukuzwa huku na kule, najiuliza hivi machinga wa kariakoo na karume ndio machinga mihimu tu, kwanini ndio wanaotoa jumuiko la...
LISHE BORA KWA AFYA
Fuata maelekezo haya ili uweze kujua aina za vyakula ili kuboresha afya yako.
1. Ulaji wa mboga za majani na matunda mbalimbali ambayo yana rangi tofauti tofauti. Hii husaidia kuzuia magonjwa mbalimbali ambayo ni sugu kwa hiyo fanya ulaji wa matunda kuwa sehemu ya mlo wako...
Wataalam
Nimekuwa nikijiuliza hivi imeshindikana kweli kufanya surgery ya kuondoa mafuta toka kwenye tumbo? Mi naona jinsi yalivyojirundika sehemu moja tumboni kama mnavyotuaminisha kupitia michoro yenu nk ni kazi rahisi zaidi kama imewezekana kuzalisha mwanamke kwa kisu? Badala ya sijui...
TUNAHITAJI PROPAGANDA MPYA ILIYOSIMAMA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Kwa zaidi ya 80% ya maisha ya mwanadamu yanaongozwa na Propaganda. Iwe propaganda nzuri au mbaya. Iwe Kwa wazungu, wachina, waarabu au Waafrika, propaganda Kwa sehemu kubwa ndio hufanya watu wawe na...
Taifa lenye Afya linaweza kuwa na maendeleo, na ni jukumu la serikali kuhakikisha Wananchi wake Wana afya. Moja Kati ya magonjwa hatari sana yanayoikumba Tanzania ni Kisukari, ugonjwa huu unatokana na matumizi makubwa ya sukari ambayo pamoja na vyakula Kama wanga, na bidhaa zinazotengenezwa na...
Kupanda kwa bei ya mafuta kuna athiri kwa ujumla maisha ya wananchi, kwa sababu kunapelekea kupanda kwa gharama za vitu vingine. Lakini licha ya kuwa inaonekana bei ya amefuta imepanda, kwa namna nyingine unaweza kusema bei imeshuka.
Imeshuka kwa sababu serikali imeondoa ada ya mafuta ya TZS...
Vifaa vya ujenzi vimepanda bei, nondo zimepanda bei. Maghorofa ni nondo, madaraja ni chuma, reli na mabwawa kama JNHP ni nondo.
Leo China uzalishaji wa chuma umepungua sababu ya pandemic na bifu lao na Australia. Kwanini serikali isianze kufua nondo.
Nchi ya Belarus inatmua maharamia kuidhofisha EU ikiwa na lengo la kujaza maharamia wengi sana kwa kuwasaidia kuzamia katika nchi za EU.
katika miezi ya hivi karibuni, maelfu ya watu wamesafiri kwenda Belarus kutoka Mashariki ya Kati, Afrika na Asia ili kuzamia Ulaya ya magharibi. maharamia...
Mazoezi ya kegel yamefanywa lakini bado kitu ni kipana tu. Jogging imedunda pia.
Hivi hakunaga surgery ya kupunguza upana wa hii kitu?
N.B. Wale maisha choka mnaomiliki simu za Tecno na vigari mitumba vya mikopo hamjawahi hata kuweka dental braces kaeni pembeni ktk hili.
Hapa naongea na mboga...
Hivi karibuni, shirika la ujasusi la Marekani lilitoa ripoti kamili kuhusu chanzo cha virusi vya Corona, ambayo ilishindwa kujibu swali kuwa ni jinsi gani virusi hivyo vya ugonjwa wa COVID-19 vilimwambukiza mtu wa kwanza.
Baada ya kupoteza nusu mwaka ambao ni fursa muhimu kwa dunia nzima...
Waswahili wanasemaga kuwa iga kilicho bora.
Takukuru ya nchini Kenya inaonyesha jinsi ya angalau kupunguza rushwa ya matraffic nchini humo.
Hii style ingetufaa hapa kwetu maana haina haja ya upelelezi tena hapo.
Wadau Salam kwenu
Moja kwa moja kwenye mada
Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa kuna wizara kadhaa ambazo lait kama leo hii Mh. Rais Samia angeniomba kumshauri kuzifuta kwa lengo la kupunguza ukubwa wa serikali ili kubana matumizi ya serikali yasiyokuwa na ulazima basi ningemshauri kuzifuta...
Miezi michahe iliyopita hili jambo lilipigiwa kelele sana pale mitandao yote kwa mpigo iliposhinikizwa kubadili bei zao kutokana na mabadiliko kadhaa ya sheria.
Kiukweli kisu kiligonga mfupa na wananchi kelele zao zilikita kila kona na mpaka raisi akaingilia kati.
kwa sasa ndani ya miezi...
Kama vile tozo walizoweka hazitoshi, wameamua kuchukua tozo zingine kwa kupunguza ukubwa wa vifurushi vya intanet. Hivi huko serikalini wanafikiri kwa kutumia kiungo kipi cha mwili. Walivyo mazuzu nasikia wamepiga pin mitandao ya ngono!! Sijui wanamkomoa nani wakati ni wao wenyewe ndo wanakosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.