Habari wanajukwaa.
Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunijalia Afya na kunipa wakati huu wakutoa mawazo yangu ambayo Huenda yakaleta athari chanya kwenye uchumi wa Tanzania yetu, Moja kwa moja nieende kwenye mada.
Kuna sehemu nyingi nimepita mikoani kuna majengo mengi yametelekezwa...
Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu bila ridhaa yake na kumletea madhara mbali mbali kimwili, kiakili au kisaikolojia. Na huweza kutokea kwa wanawake, wanaume, wavulana na wasichana. Wanawake na watoto ni makundi ambayo yameonekana kuathiriwa zaidi na ukatili wa kijinsia kuliko...
Kwanza naomba niipongeze Serikali kwa ujenzi wa miundombinu katika majiji yetu ni jambo zuri kuonyesha kodi zetu zinatumika ipasavyo, Dar es Salaam na majiji mengine imekuwepo miradi mikubwa na midogo ya ujenzi wa barabara mfano mwendokasi Dar es Salaam.
Lakini miradi hii imekuwa ikiacha...
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo.
Zambia ambayo inakabiliwa na wimbi la tatu la Virusi vya Corona imesema maeneo ya starehe ikiwemo baa na casino zitafungwa kwa siku 14, ili kupunguza kasi ya maambukizi ya Ugonjwa huo.
Wiki iliyopita, Shule zilifungwa kwa siku 21 ili kuruhusu Tawala kuchukua tahadhari za kuhakikisha usalama...
Kwanza niaze kwa kumshukuru Mola mlezi kwa kila neema na upendo wake.
Natumai wote ni wazima. Nianze tu kwa kuipongeza serikali kwa kuajiri watumishi wapya katika sekta ya elimu na afya, kiukweli serikali kupitia OR-TAMISEMI imejitahidi kutenda haki kwa namna mchakato mzima ulivyofanywa ili...
Natamani inchi yangu ijifunze kuangalia kipaumbele cha kero!
Ni kweli kabisa gharama za kuingiza umeme hazitakiwi kuwa kubwa namna ile kutokana na mazingira kwamba Luku na miundo mbinu si Mali ya mteja Bali ni Mali ya mtoa huduma!
Lakini kutokana na mipangilio mibovu, pamoja na kuwepo ile...
Waziri anayehusika na kazi anayo habari kuwa mamia ya wafanyakazi katika mabenki mbali mbali hapa nchini wamepoteza ajira kwa kufukuzwa?
Walianza Access, Finca na sasa Stanchart na mengine binafsi isipokuwa yanayomilikiwa na serikali. Kibaya zaidi wafanyakazi wanalipwa mafao duni na wengine...
Serikali imedhamiria kufunga kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kupunguza uhalifu ambao umeanza kushamiri katika maeneo ya jiji hilo baada ya Serikali kuhamia Dodoma huku wimbi la watu likichagiza hali hiyo ya uhalifu.
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
Wanaume nyie ndio wa kutoa huduma zote kwetu na familia na mnaujua uzito wa mzigo mnaoubeba sawasawa. Hebu tusaidieni uzoefu na mawazo tusijeyaharibu mambo huku
Wanawake kupendana buana
Serikali za Africa kwa dhamina na uelewa, kwa nguvu zote wekezeni katika matumizi ya maliasili zetu. Vinginevyo kutegemea chanjo, dawa, nk kutoka kwa wajanja vitaendelea kutufanya watumwa kwa wageni na vizazi vyetu vyote kama vitakuwepo.
=======
https://www.huffpost.com/entry/fluoride_b_2479833
Good evening jamiiforums
Soma hapa>>> Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika?
WAZIRI MWIGULU NCHEMBA LEO BUNGENI
=====
"Mh. Spika napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na Bajaji kutoka elfu thelathini za sasa hadi elfu kumi kwa kosa...
Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
Habari za humu ndugu zangu.
Poleni kwa majukumu.
Changamoto inayonirudisha nyuma sana:
Ninachangamoto ya usikivu mdogo(Hard hearing, Hearing loss), kushindwa kuelewa kinachozungumzwa kwa kiasi fulani (Word deafness) hasa kwa sauti za besi sana sometime ninaweza nisikuelewe maneno utamkayo...
Binafsi siamini kuwa serikali hii ya sasa, kama ilivyokuwa kwa serikali zilizopita, hawaelewi kuwa ukipinguza kodi ya kuingiza magari nchini, watu wengi zaidi wataagiza magari na hivyo kuiongezea zaidi serikali mapato, bali naamini wanahofia miundombinu ya jjji kuzidiwa na wingi wa magari ila...
Kwa mfano nikikerwa suluhu yangu ni kujifungia ndani na kujumlisha changamoto na magumu yote niliyopitia katika maisha yangu niliee weee mpaka moyo usuzike baada ya hapo nitakavyoanza kucheka na kufurahi na mwenzangu ni kama si yeye aliyenikwaza,ila kama sijafanya ivo ujue siku hiyo nimeamua...
Na Thadei Ole Mushi.
Tukiweza tuangalie upya utaratibu wa Mbio za Mwenge. Sio kila kitu kilichoanzishwa na wazee wetu kinakuwa na tija wakati wote.
Katika kipindi hiki Corona ikiwa inatikisa Dunia ni vyema tukapunguza Mikusanyiko. Fikiria Mwenge huu utapita kila Mkoa na kila Wilaya na kutakuwa...
Habari!
Kwakweli kama mtumishi ambaye sijapanda daraja tangu niajiriwe, siujui mshahara mpya nakaribia mwaka wa sita sasa hapa matumaini yanayeyuka. Naanza kufikiri nje ya duara.
Hata hayo madaraja mapya sijui kama nami nitakuwa mmoja wapo. Maana idadi ya wanaostahili kupanda madaraja ni wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.