kupunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kupunguza viwango vya ufaulu wa masomo huzalisha ujinga katika Taifa

    Madhara ya kupunguza viwango vya ufaulu wa masomo huzalisha ujinga mkubwa katika Taifa. Elimu ni jambo la kupewa kipaumbele katika Taifa kwasababu inaondoa ujinga na kuleta maarifa. Yapo mataifa mengi yanayotilia mkazo swala la Elimu hata yameamua kupandisha viwango vya ufaulu badala ya...
  2. Mbunge Zaytun Swai Aitaka Serikali Kuongeza Kasi Kupunguza Vifo vya Watoto Njiti Mkoa wa Arusha

    MHE. ZAYTUN SWAI AITAKA SERIKALI KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO NJITI MKOA WA ARUSHA "Je, Serikali ina mpango wa kupunguza vifo vya watoto wenye umri kati ya mwaka 0 - 1" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka Mipango...
  3. S

    World Economic Forum(WEF) na mpango wao wa kupunguza watu duniani kuanzia 2023

    Mnamo wa mwezi wa kwanza, tarehe 19, wanajamii wa WEF walikutana na kujadiliana mambo mengi kuhusu Dunia kiujumla. Ila wakati mmoja, kuna mmojawao akatoa pendekezo la kupunguza watu duniani kuanzia mwaka 2023 angalau kwa asilimia 50. Bill Gates tena amezua gumzo baada ya kuandika katika...
  4. SoC03 Kupunguza Umaskini: Njia ya Kujenga Mustakabali Bora kwa Taifa

    KUPUNGUZA UMASKINI: NJIA YA KUJENGA MUSTAKABALI BORA KWA TAIFA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Umaskini ni changamoto kubwa inayoikabili taifa letu. Licha ya juhudi za serikali na mashirika mbalimbali za kupunguza umaskini, bado kuna idadi kubwa ya watu wanaoishi katika hali duni. Kupunguza...
  5. G

    SoC03 Kuimarisha Utawala Bora kwa Kupunguza Ushirikiano wa Kisiasa katika Uteuzi wa Viongozi wa Serikali

    Mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali umekuwa na changamoto kubwa nchini kwetu. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea. Hii imepelekea kuwepo kwa viongozi wasio na uwezo wa kusimamia vizuri masuala ya umma na kusababisha...
  6. Propaganda (uzushi) maarufu kuhusu kupunguza uzito (unene) na vyakula (diet)

    Uzito mkubwa na unene ni moja ya changamoto kubwa inayowapata watu wengi sana katika maeneo mbalimbali hapa duniani. Katika bandiko hilii tutazungumza baadhi ya mambo ambayo ni propaganda juu ya hii inshu na mambo ya vyakula,na namna unaweza kufanya ili kupungua uzito. NAWASALIMU KWA JINA LA...
  7. Serikali Kujenga Vituo vya Polisi Kupunguza Vitendo vya Uhalifu Kata ya Machame Mashariki

    Kutokana na kuripotiwa kwa matukio mengi ya uhalifu ambayo yamekuwa yakisababishwa na wananchi wenyewe kwa wenyewe Serikali imedhamiria kujenga vituo vya polisi kwaajili ya kupunguza matukio ya uhalifu ambayo yamekuwa yakiripotiwa ya mara kwa mara. Hayo yamesemwa na Naibu waziri Wizara ya Mambo...
  8. V

    SoC03 Uchambuzi juu ya uwajibikaji katika kupunguza ongezeko la taka za plastiki

    Tarehe tano mwezi wa sita kila mwaka ni siku ambayo dunia nzima inaazimisha siku ya mazingira. Mwaka huu 2023, siku hii imebeba kauli mbiu “ Pinga uchafuzi wa plastiki”.Nyaraka hii itaangazia athari za plastiki katika mazingira na afya, pamoja na uwajibikaji kwa wananchi,serikali,mashirika...
  9. Ni kweli kubadilisha Pull ya mota kunaongeza au kupunguza speed yake

    Mota ya mashine ya alizeti inasumbua sasa nataka kuibadilisha nichukue ya mashine ambayo motor yake ina speed na mashine ya alizeti haiitaji speed.Nimeambiwa ninaweza kuitumia hiyo mota ya hiyo mashine ngingine ila nibadilisha pull itakuwa na speed ya kawaida.Swali ni je ni kweli kubadilisha...
  10. Rais Samia aagiza mapitio ya tozo ili kupunguza gharama za bando

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza katika kipindi cha Clouds360 kinachorushwa kupitia Clouds TV ameeleza kuwa Rais wa Tanzania; Dkt Samia Suluhu ameridhia kufanyika kwa mapitio ya baadhi ya tozo ili kupunguza gharama za Bando kama ambavyo watanzania...
  11. Serikali Kupunguza Gharama za Kusafisha Figo Kutoka 350,000 hadi Kati ya 90,000-150,000

    Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu hasa kwa wenye vipato vya chini. Taarifa hizo zimetolewa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Wizara ya...
  12. A

    SoC03 Fursa katika kutunza mazingira na kupunguza matumizi ya kuni na mkaa

    Mazingira ni jumla vitu vyote vinavyotuzunguka vikiwemo viumbe hai na visivyo hai.mfano wa viumbe hai ni pamoja na binadamu ,mimea na wanyama visivyo hai ni pamoja na mawe magari nyumba n.k Mazingira hayo pia yamegawanyika tena katika sehemu mbili; (1)mazingira ya vijijini (2)mazingira ya mijini...
  13. Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa

    Wakuuu za sahizi Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa kitu ambacho sijafurahishwa nacho Nilikuwa naomba kama kuna mtu anayejua dawa au njia ya asili ya kuyapunguza mashavu yangu anisaidie Siyapendi kwa kweli 😢😢😢😢😢😢 Nawasilisha Edit:: mimi ni me nasemea mashavu ya usoni
  14. SoC03 Namna Bora ya kuondoa au Kupunguza kabisa Ajali za Barabarani

    Ajali za barabarani nchini Tanzania zimekuwa ni janga ambalo limekosa ufumbuzi na linaloendelea kugharimu maisha ya watanzania wengi na kupoteza nguvu kazi ya Taifa.Licha ya kupoteza nguvu kazi ya Taifa lakini pia ajali hizi zimekuwa zikiwaacha watu na ulemavu wa maisha vilevile kuziacha familia...
  15. N

    Tanzania kupunguza uagizaji vifaranga nje ya nchi

    Mwaka 2022/2023 Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imewezesha uwekezaji wa shamba la kuzalisha kuku wazazi halisi (Grandparent Stock) lenye uwezo wa kufuga kuku 60,000 na kuzalisha mayai ya kuku wazazi halisi 40,000 kwa siku, uwekezaji huu utapunguza uagizaji wa vifaranga nje ya nchi...
  16. Jinsi Ya Kupunguza Mawazo Baada Ya Kuachwa.

    Unapoachwa na mtu umpendaye inauma. Hasa ukifikiria kwamba huyo mtu mlikua mnaendana sana. Mlikua mnaelewana. Mawazo huwa ni mengi, lakini kitu kinachotokea ni kwamba unajikuta huwezi waza kitu kingine zaidi ya mawazo ya kuachwa. Kila ukiwaza unaumia. Unaona mambo ni mabaya kila sehemu, hupati...
  17. Serikali mnahalalisha uongo kupunguza watoto wa mitaani huku mkiwanyima haki ya kuwajua baba zao halisi

    Mnabariki uongo na dhulma kwa kumbambikizia mtu mtoto asiye wake kisa tu huyo mtu ana pesa. Sasa nyie serikali na huyo kahaba aliyebambikiza mtakuwa mna tofauti gani? Eti kulinda maslahi ya mtoto mamlaka ya serikali inadanganya matokeo ya DNA na kumbambikiza mtoto kwa asiye baba yake kweli...
  18. D

    Ushauri: NEMC fanyeni haya ili kupunguza kelele za muziki mtaani

    Nafaham upo ugumu mkubwa wa kushughulika na watu wanaoamini KERO ni haki yao! Yaani kuna watu wanajimilikisha haki ya kuwakera wengine! Na wanaoamini wako sahihi! Zamani kukuta spika ya disco kanisani ilikuwa HAKUNA! Na watu waliogopa kucheza sebene kanisani lakini hivi Leo ni kawaida sana...
  19. J

    Mambo ya kuzingatia kupunguza magonjwa yasio ambukizwa

    NJIA KUMI ZA KUZUIA MAGOJWA YASIYO AMBUKIZWA Magonjwa yasiyambukizwa ni magonjwa yasiyo na vimelea vinavyoweza kusambazwa.Mfano ni magonjwa sugu ya njia ya hewa ,kisukari,kuoza meno,magonjwa sugu ya njia ya hewa ,kisukari ,kuoza meno nakadhalika. Zifuatazo ni njia za kupunguza magonjwa...
  20. Hongereni Yanga kwa kupunguza idadi ya magoli

    Natoa nafasi ya pekee kwa Yanga kwa kupunguza idadi ya magoli, nadhani mmeijua Simba ni watu wa namna gani. Nimepata taarifa hapa kwamba Haji Manara amekamatwa akicheka chooni. Simba nawapongeza pia kwa kuwaheshimu Yanga na kuwafundisha Mpira wa kimataifa ulivyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…