Ili tuendelee tunahitaji watu, siasa Safi, ardhi na uongozi bora.
Hivi vinategemeana, kinara uongozi bora. Uongozi bora utatoa maono, mengine yachangie kuleta maendeleo.
Kiongozi anaongoza watu, Kazi zake; kupanga, kusimamia, kufundisha na kuhamasisha. Anapashwa awe na maono, mbunifu, na...