kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    LGE2024 Tujiandikishe kupiga kura

    Nimejiandikisha kupiga kura nikiwa mtu wa kwanza kwenye mtaa wangu. Wewe Je?
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 John Mnyika aeleza mikakati ya CHADEMA kukabiliana na Orodha Haramu ya Wapiga Kura Wasiokuwa Halali

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 Mnyika aitupia lawama TAMISEMI, adai ni Mpango wa CCM na TAMISEMI kutohamasisha Uandikishaji wa Wapiga Kura

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameishutumu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kutoshughulikia ipasavyo suala la kutangaza na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwaajili ya uchuzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza tarehe 11 hadi 20 Oktoba, 2024, kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao...
  4. milele amina

    Pre GE2025 Wito kwa Vijana wote wa Tanganyika, kujiandikisha bila kukosa, mamia kwa maelfu kupiga kura 2024 na 2025

    Katika mazingira ya kisiasa ya Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa kikishikilia madaraka kwa muda mrefu, na hali hii imezua malalamiko miongoni mwa wananchi, hususan vijana. Nishati, matumaini, na sauti za vijana katika umri wa miaka 18 hadi 45 zinaweza kuwa chachu ya mabadiliko...
  5. Idugunde

    Watumishi waagizwa kumtafutia kura Rais Samia 2025

    👇
  6. Yoda

    Pre GE2025 Daftari la wapiga kura na kitambulisho kimoja tu cha kura ni urasimu unaopunguza wapiga kura na kufifisha demokrasia

    Hiki kinachoitwa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa raia wote waliokidhi vigezo na wanaohitaji kupiga kura ni aina fulani ya kituko na jambo lisilo na tija yoyote katika demokrasia zaidi ya kupunguza ushiriki wa raia katika uchaguzi kwa urasimu wa ajabu ajabu tu. Pia ni upotezaji...
  7. D

    Pre GE2025 Hivi Wapiga kura ni sisi au kuna wengine?

    l will be honest Niliyo shuhudia within this 5 years kama Mpiga Kura kuipata kura yangu kazi mnayo. Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya. Tafuteni alternative . 2025 kazi ipo. Asanteni.
  8. masopakyindi

    Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
  9. Forest Hill

    CHADEMA ikiiga movements za "Rock The Vote" organization, watashinda uchaguzi 2030 kwa kura mpya za Gen Z

    Katika tafiti ya shirika la Twaweza walio fanya miaka kadhaa nyuma,walisema kua wafuasi wengi wa chadema ni vijana wasomi kuanzia miaka 18-40,tofauti na CCM wengi ni wazee na watu wenye elimu ya chini, Ukiangalia Demographic ya Tanzania,idadi kubwa ya watanzania ni vijana wa miaka 15-35..bahati...
  10. Shooter Again

    RAIS WANGU MAMA SAMIA NI BORA SANA MAAFISA UBASHIRI KURA YETU UNAYo

    Jana nimetengeneza million 45 aisee namshukuru sana raisi Kwa kutofungia hizi kampuni za betting licha ya wajinga Fulani ambao mambo yamekua magumu kwao kwenye hii sekta ya maafisa ubashiri kukushauri ufunge kumbe hii sekta Ina watu wake ambao ni sisi sababu zinatubadilishia maisha sisi watoto...
  11. matunduizi

    Nini chanzo cha wazazi wa kiafrika kuwaandaa watoto ili waje wawasaidie?

    Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha. Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
  12. Z

    Ubalozi Malaysia, Wizara mambo ya nje na mambo ya ndani Tanzania fanyeni kazi zenu badala ya kula raha ofisini

    Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara. Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii imeleta tabia ya kiburi na kutowajibika na mambo ya wa-TZ wa kawaida ktk nchi wanazowakilisha. Kuna...
  13. Allen Kilewella

    Pre GE2025 Hivi ndivyo CCM huiba kura na CHADEMA wasijue wameibiwaje kura

    Mwaka 2020 wakati wa Kampeni za uchaguzi Mkuu, nilikuwa nawaambia viongozi wangu kuwa ni lazima CCM watatuibia kura kwa mtindo Mpya kabisa. Sababu ya kusema hivyo ilikuwa ni jinsi CCM walivyopunguza matumizi ya mabavu ya dola dhidi ya CHADEMA kwenye Kampeni za uchaguzi ule. Hapo chini nimeweka...
  14. ward41

    Rais wa Marekani anapatikana kwa kura za wananchi, sio deep state

    Kuna uzushi mwingi wa vijiweni kwamba raisi wa MAREKANI anapatikana na deep state na kwamba kuna kikundi kidogo cha watu sirini wanamteua raisi. Hii sio kweli. Raisi wa MAREKANI anapatikana kwa kura za Wananchi. Ndiyo maana wagombea wanafanya campaign ili wapigiwe kura Utofauti na huku kwetu ni...
  15. B

    Makamu wa Rais wa zamani, Cheney (Republican) kumpigia kura Kamala Harris

    Hii ndiyo ile maana kamili ya vyama kutokuwa mama wa waungwana: Uwaambie nini wale chawa kindaki ndaki wa pande za kwetu? Kwamba hayapo wanayosimamia ila vyama.
  16. Bila bila

    Pre GE2025 Kura muibe kama alivyokiri DC Ng'umbi, je, huko maporini huwa mnafanya vitu gani au huwa mnawapoteza wagombea?

    Hivi huwa mnajisikiaje hata baada ya kubadilisha matokeo halali ya uchaguzi au kuengua Wagombea wa upinzani bado mnawateka Wagombea hao na kuwatelekeza maporini waliwe na wanyama kama alivyokiri Leo aliyekuwa DC wa Longido Marco Ng'umbi? Ila nyie hata shetani inabidi aje kuchukua mafunzo...
  17. Tulimumu

    Pre GE2025 Kwa yaliyotokea 2015, 2019 na 2020 na yanayoendelea nimekata tamaa ya kupiga kura kabisa kama kuna ushauri wa kisaikolojia naomba nisaidiwe

    Uchafu na dhuruma za uchaguzi mkuu wa 2015 wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 na kinachoendelea sasa dhidi ya wapinzani, utekaji, kupoteza watu na usanii wa 4R na kinachoitwa tume huru ya uchaguzi nimeamua sipigi kura tena kwakuwa ni kupoteza muda na nguvu. Chaguzi zenye haki...
  18. Msitari wa pambizo

    Hizi ni sababu zangu kuu tano za kwa nini sitampigia kura Samia Suluhu Hassan kama atasimamishwa na chama chake

    Niende moja kwa moja. Ikiwa CCM watamsimamisha Samia kuwa mgombea katika uchaguzi mkuu 2025 sitampigia kura yangu kwa sababu zifuatazo. 1. Matukio ya utekaji yanaongezeka siku hadi siku. Sijui anajisikiaje kuachanisha familia za watu, kuwaacha watoto bila wazazi kwa kuteka na kupoteza watu. Ni...
  19. Roving Journalist

    LGE2024 Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, wapiga kura wapya 190,131 wanatarajiwa kuandikishwa Mwanza

    Wakazi wa Mkoa wa Mwanza wakiwa katika vituo vya Kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakijiandisha na kuboresha taariza zao leo ambapo uboreshaji huo ulioanza Agosti 21, 2024 ukiendelea kwa mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Mikoa hiyo inafanya zoezi hilo kwa siku saba kuanzia Agosti 21 hadi...
  20. chiembe

    Kwanini wapiga kura wa Sugu hawajaenda kumuona ila wanaomuona ni majasusi wanaowakilisha nchi zao Tanzania?

    Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
Back
Top Bottom