Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,430
WANU AMEIR AIBUKA KINARA KWA KUPATA KURA 1,356 - JIMBO LA MAKUNDUCHI
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Wanu Hafidh Ameir ameongoza kwenye kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Makunduchi ambapo amepata kura 1,356.
Wanu amewapita kwa kura nyingi wapinzani wake wawili, ambao ni Iddi Ali Moh'd na Pandu Haji Yakoub ambapo alikuwa akichuana nao katika kinyang'anyiro hicho
Baada ya kutangaza matokeo hayo, Wanu amewashukuru sana wajumbe kwa kumpa kura za kishindo huku akiahidi kuwatumikia wananchi Jimboni endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampitisha kuwania Ubunge wa Jimbo la Makunduchi
Soma pia
Attachments
-
WhatsApp Image 2025-08-05 at 18.18.09 (2).jpeg58.6 KB · Views: 51 -
WhatsApp Image 2025-08-05 at 18.18.09 (1).jpeg34.5 KB · Views: 49 -
WhatsApp Image 2025-08-05 at 15.39.21.jpeg1 MB · Views: 43 -
WhatsApp Image 2025-08-05 at 15.39.22.jpeg508.9 KB · Views: 51 -
WhatsApp Image 2025-08-05 at 18.18.08.jpeg87.5 KB · Views: 44 -
WhatsApp Image 2025-08-05 at 18.18.08 (1).jpeg57.3 KB · Views: 50 -
WhatsApp Image 2025-08-05 at 18.18.08 (2).jpeg55.4 KB · Views: 48 -
WhatsApp Image 2025-08-05 at 18.18.09.jpeg49.9 KB · Views: 47