daah inasikitisha kwa kweliNi kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua
Ujinga ni laana
View attachment 3433395
Mpokea rushwa ana tatizo kubwa kuliko hata mtoa rushwa. Mtu akikataa kupokea rushwa nani atamlazimisha ?Rushwa kaka, rushwa!!
Alimtoa kafara mke wake hivyo kafara yake bado inafanya Kazi, ikiishiwa nguvu ubunge atashindwa kama ilivyo kwa akina Ki, Ka etc na wengine wengiNi kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua
Ujinga ni laana
View attachment 3433395
Ikiwemo mimi na wewe bwasheeWatanzania wengi hawajali kuhusu nchi yao, wakishakuwa na uhakika wa mlo kinachobaki ni kubishana kuhusu Simba na Yanga.
Watu jamii yako CCM wenyewe wanakucheka ukiondokakama wao wenyewe wamemchagua wewe ni nani kuwaambia huyo siye?
Doctor TaletaleNi kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua
Ujinga ni laana
View attachment 3433395
na waendelee kucheka tu mimi siye niliyempigia kura huyo babu TaleWatu jamii yako CCM wenyewe wanakucheka ukiondoka
Acha walioshika mipini waendelee kula maana nchi imejaa wasiojitambua, yaani kuna watu akili ziko karibu kabisa na kifuniko, akipumua tu na akili zinaishaWatanzania wengi hawajali kuhusu nchi yao, wakishakuwa na uhakika wa kula chips, mishikaki na pepsi hapo mtu anajiona tayari amejipata na kinachobaki ni kubishana kuhusu Simba na Yanga.
Mambo ni fire maneno sio mkuki lakini yanachomaMwenzio wakati yupo anachimba mfereji wewe ULIKUWA upo unaongeza degree.
Utulie Sasa kila mtu atunze familia yake.
Na kila mtu awekeze katika pando alilopanda
Uamuzi wa wapiga kura uheshimiwe.Ni kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua
Ujinga ni laana
View attachment 3433395