GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watanzania wengi hawajali kuhusu nchi yao, wakishakuwa na uhakika wa kula chips, mishikaki na pepsi hapo mtu anajiona tayari amejipata na kinachobaki ni kubishana kuhusu Simba na Yanga.
Huu ni ukweli mchungu mkuu umeandika.
Watu hawaangalii nchi, wanaangalia matumbo Yao. Tufanye Nini Sasa mkuu kuweka mambo sawa?
 
Kama unawalenga wananchi ni kuwaonea tu. Ruka nao baada ya uchaguzi.

Kura za maoni zinapigwa na wenzie, yaani, kesi ya nyani imeendeshwa na hakimu sokwe halafu mashahidi wakawa tumbili.

Kama wananchi wakimpigia kura (zile halali) basi hili andiko litakuwa na mantiki.
 
Back
Top Bottom