Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Ndio maana mnadharauliwa vijana wa siku hizi, hii ni akili ya namna gani. Watanzania ndio wamempigia kura? Hao wanaCCM wachache ndio uwaite watanzania, jitathmini kijanaNi kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua
Ujinga ni laana
View attachment 3433395