GE2025 Kama Chaumma chini ya Mwalimu itapata kura zaidi ya 100,000 nchi nzima itakuwa ni jambo la ajabu

GE2025 Kama Chaumma chini ya Mwalimu itapata kura zaidi ya 100,000 nchi nzima itakuwa ni jambo la ajabu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Nimeona kuwa Salum Mwalimu ndo atapeperusha bendera ya CHAUMMA kwenye nafasi ya Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama CHAUMMA itapata kura zaidi ya 10,000 nchi nzima mtakuja kuniambia. Safari hii CCM watazoa kura kwa asilimia 99.

Upinzani nchi hii bado sana.
 
Kwenye maisha na hususani siasa chochote kinawezekana,
Nani aliwahi kuwaza kama siku moja Chadema watamu endorse Edward Lowassa kama mgombea urais kupitia chama chao ?
 
Labda ukijumlisha na Zanzibar, inawezekana zikawa 945,350 Total Presidential votes both Tz mainland na Tz visiwani
 
Chauma wangeweka nguvu katika Ubunge na Udiwani, sio huko kwa Urais, na mgombea mwenyewe sasa....Mbowe kachomoa?.
 
Labda ukijumlisha na Zanzibar, inawezekana zikawa 945,350 Total Presidential votes both Tz mainland na Tz visiwani

Zanzibar ni ACT na CCM. Hizo kura laki nane atatoa wapi? Mama Anna Mghwira alipata kura elfu 90,000 za urais.
 
Walishindwa kusoma makosa ya ACT ya mwaka 2014/2015. Kampeni zikianza ndipo wataona reality.
 
Nimeona kuwa Salum Mwalimu ndo atapeperusha bendera ya CHAUMMA kwenye nafasi ya Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama CHAUMMA itapata kura zaidi ya 10,000 nchi nzima mtakuja kuniambia. Safari hii CCM watazoa kura kwa asilimia 99.

Upinzani nchi hii bado sana.
Bora nimpe kura mpina japo naichukia ACT sababu ya ayatolah
 
Za kwao zimeshaandaliwa

Zipo million 37, CHAUMA tutawapa angalau milioni 5 sisi tutapata milioni 25 ambao hawakupiga kura tutafanya kama million 7,. Hiyo ni mipango ya wahuni Kwa mujibu wa slowslow. ahhh just a joke
 
Back
Top Bottom