chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Wajumbe hawana utani, wamemtwanga vibaya ndugu Mnyeti.
Anaitwa βπ½πͺππ€π©π π¬π πππ¨πͺπ£ππ¬πβ (dawa ya Misungwi) jina maarufu alilopewa na wananchi wa Jimbo la Misungwi, wakimaanisha βdawa ya Misungwiβ kwa madai kwamba baada ya kuteswa na gonjwa sugu tafiti zimefanyika hatimaye tiba imepatikana, (mmoja wa wadau wa Misungwi kafunguka).
Anaitwa Salvatory Luboja Slvester kwenye KURA ZA MAONI CCM, Matokeo ya jumla kapata kura 9680 akimwangusha mshindani wake aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi anaye maliza muda wake Mhe. Alexander Mnyeti kura 3249.