makosa tunayotakiwa kurekebisha Kama nchi, kwa baadhi, ni kama ifuatavyo:
1. kutokuwa na mfumo rasmi wa kiuchumi.
Katiba yetu ya mwaka 1977, ibara ya 3 (1) inaitambua Tanzania Kama nchi yenye mfumo wa kijamaa. Hivyo Tanzania kisheria inafuata mfumo wa kiuchumi wa kijamaa, lakini ukija kwenye...