Habari,
Naomba tuelimishane kuhusu mikopo ya bank kwa wafanyakasi na wafanya biashara.
Pale umefanikisha kurudisha mkopo wao wote, wanatakiwa kukupa nini
Je, utarudisha mkopo uondoke zako bila kupewa chochote, nauliza kwakua unapo chukua mkopo, unasign mikataba, unajaza fomu, unandika barua...