Kupitia hotuba ya waziri wa fedha na mipango Mh. Mwaigulu Nchemba leo bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya wizara ya fedha ya mwaka 2022/2023 amethibitisha kukamilika kwa hatua za ukaguzi wa mali na madeni ya taasisi mbali mbali ambazo zilikua ni mali ya serikali ,na miongoni mwa taasisi hizo...
Rais Mama Samia alirejesha tozo ya Sh.100 iliyokuwa imetolewa kwenye mafuta ya petrol, dizeli na mafuta ya taa ni nani alikosea kuitoa na ni nani kati ya wafuatao ajitafakari kati ya Waziri wa nishati na waziri wa fedha na afanye hivyo lini ili iwe fundisho kwa wengine?
Kama Ndugai...
Habari JF?
Naomba tufahamishane kuhusu hili suala?
Mfano nimekopa Sh laki 5 pale NMB branch Ya Igoma, baadae nikashindwa kurejesha mkopo wao wakaja wakabeba dhamana.
Je, Taarifa zangu za kushindwa kurejesha mkopo zitapelekwa kwenye system za benki nyingine za Biashara Tanzania ili nikienda...
Hakuna ubishi kila mtu anajua kilichotokea kipindi cha awamu ya tano kwa vijana wafuatao.
1. Bashite
2. Sabaya
3. Gambo
4. Mnyeti
5. Chalamila na wengine kama kina Ally Hapi though huyo sina uhakika sana.
Wengi waliishi kwa kupora mali za watu. Serikali ikisema itangaze wajitokeze watajaa...
Leo nimejaribu kuangalia historia ambayo ndio taifa kubwa katika mabara la umoja wa Kisovieti na kuangalia sababu zipi zilipelekea kuvunjika.
Cha kwanza kinaonesha kuwa Urusi imejipanga muda mrefu kwa haya na si kwa hayo kwa yoyote ambaye atajaribu kuingilia.
Wakitoka Ukraine tambua Afghan...
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI).
Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na...
Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia...
Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education.
Mtu atakaepata mkanda wa...
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri kwani hii itaondoa malamiko mengi dhidi ya uvunjwaji wa sheria unaoendelea - kusimikana uchifu - kitu kilichopigwa marufuku takriban miaka 60 iliyopita?
Hivi hatuwezi kurejesha utaratibu wa Mwl Nyerere na Abeid Karume kuhusu mfumo wa muungano ambapo Rais wa Znz ndiyo lazima anakuwa Makamu wa Rais wa JMT?
Rais wa JMT akitoka Znz basi Makamu wake ndiyo atafutwe kutoka Bara. Mfumo wa Makamu wawili (wa Kwanza na wa Pili ungerejeshwa). Hivi sasa...
Katika kinachoonekana kuwa ni survival of the fittest beii ya mafuta ya gari /petrol imezidi kupanda na kufika tsh 2510 kwa lita moja mwezi huu. Unapotoa tsh 20,000 unapata lita 7.9, kitu ambacho ni kuendelea kumuumiza Mtanzania huyu wa kipato cha chini maana yeye ndiye atakayekuja umia katika...
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify...
Tulishasahau kero za tanesco jpm alitusaulisha huko aliko mwanga wa milele amwangazie Bwana.naomba wajuzi wa Mambo kama TANESCO Wana uwezo wakulipa vitu vinavyoharibika kutokana na kukata kwao dakika moja na kuurudisha dakika ya pili,Tangu Jana mchezo wao ulikuwa huo jioni ukatulia.
Leo ni Mara...
Poleni na majukumu ya kulijenga taifa,
Hapo kabla ya sheria mpya ya madini ya mwaka 2017,haijatungwa na kupitishwa, wakaguzi wa madini migodini walikuwa wanaenda kwenye vituo vya ukaguzi, hasa migodi mikubwa na ya kati kwa utaratibu wa mzunguko/rotations yaani leo upo hapa kesho pale, ili...
Natafuta namna ya kurudisha bathtub ambayo imechakaa. Nahitaji kuirudia maana naona imepata kutu.
Nliwaza hizi rangi za ku spray za kopo nyeupe.sijui kama zinafaa au kuna ambazo zinapatikana kwa ajili hiyo.
Naombeni msaada kwa mnaofaham.zinauzwa wapi ,tsh ngapi na aina gani
Tatizo la simba siku za hivi karibuni imekuwa namna ya kupata kiungo mshambuliaji kariba ya clotus Chama ili timu iweze kutengeneza nafasi nyingi za magori kwa washambuliaji.
Tatizo haliko kwa washambuliaji waliopo, tatizo lipo kwa kiungo gani sahihi aliopo pale msimbazi kuchukua jukumu hilo...
Kwema wandugu:
kilio changu leo nawapa airtel money Tanzania, kwanini muamala wa mteja unachukua mda mrefu kurudishiwa.
1. Mara mseme mpaka mteja apokee simu muongee nae ndo muweze kurudishwa ina maana kama mteja amefariki muhusika hawezi rudishiwa pesa yake.
2. Tuna omba majibu au ndo...
Mimi ni mtoto wa Polisi na wazazi wangu wote walikuwa kwenye jeshi hili kwa miaka mingi sana. Kwa ufupi wazazi wangu hawajawahi kufanya kazi nyingine.
Ukweli kumekuwa na malalamiko mengi sana ya unyanyasaji wa Polisi wa hali ya juu. Hii sio kwa wanasiasa pekee tumesikia haya malalamiko kutoka...
Mwendo wa kurudisha shughuli za makao makuu dar umeonekana mara baada ya kuaga dunia magufuli na mama samia kua rais. Swala la kuhamia dodoma limekua gumu kwa miaka zaidi ya arobaini hadi alipoingia magufuli.
Kitendo cha rais samia kuonekana kwa kupenda au kushauriwa kufanya shughuli za...
Wakuu habari leo nimekatwa pesa AppStore pasipo kutaka ,wataalam wa iPhone nawezaje kuirudisha pesa hii 33 USD
app yenyewe niliyolipia pasipo kutaka hiyo hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.