Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets.
Ni wapi naweza kuipata?
Nimesoma moja ya post humu kwamba kwa mujibu wa CAG, Tanroads walikuwa na bakaa kwenye bajeti yao. Nimesikitika sana kwa kweli. Hali ilivyo mbaya sana tena sana kwenye jimbo la kibamba kwa barabara zilizopo chini ya Tanroads, alafu inapatikana hela ya kurudi serikalini? Hii si ni dharau kweli...
Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi Songea.
Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja.
Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
Viongozi, kumekuwa na mijadala kuhusu viongozi hususa, hawa wa kuteuliwa kutokuwa na maadili na matokeo yake kuonekana kama vyeo vya asante na shukrani kwa makada.
Je, nini kimechangia kushusha maandali? Je, ni upatikanaji wao? Kutokuandaliwa vizuri kuja kuongoza ama ni kuteuliwa kwa kujuana...
Wakuu,
Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca.
NB: Ni ndoto tu, No guarantee.
Chombo cha kupeleka mizigo katika anga za juu cha China cha Tianzhou - 4 kimerejea angani. Vipande vingi vya chombo hicho viliteketea wakati wa mchakato huo, huku vipande vichache vikianguka kwenye eneo la kusini la bahari ya Pasifiki kama ilivyopangwa.
Baada ya Urusi kupiga miundo mbinu ya maji na umeme huko Kiev. Maengineer na Mafundi wa Ukraine wanefanikiwa kurudisha umeme na Maji katika mji mzima wa Kiev.
Hayo yamesemwa na Mayor wa jiji la Kiev.
Wakati huohuo Ukraine imesema imefanikiwa kudondosha Drone 8 za Urusi ilizopewa na...
Hii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao?
Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu.
1. Upumbavu
2...
Msemaji huyo wa Kremlin Dmitry Peskov ameiambia BBC kuwa Russia itachukua maeneo yote ambayo kwa sasa inayakimbia. Pia ameongeza kuwa "maeneo yaliyonyakuliwa yatakuwa ya russia daima dumu na hayakuja kurudi Ukraine"
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul akijibu swali Bungeni amesema Kamati imeundwa kufanya tathimini ya kurejesha Ligi ya Muungano ambayo inajumuisha timu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
Waziri Gekul amesema “Tumekuwa na mazungumzo kati ya TFF, BMT na ZFF kwa...
salaam,
Hivi wataalamu Kuna namna za kufanya hili kurejesha number ya simu ambayo uliifuta kwa hasira, Kuna mtu nilifuta number yake kwa hasira Sasa kuna ishu muhimu nae, na namna za kumpata hakuna "kulalaleki!
Zaidi ya Tsh. Bilioni 53 zilizochukuliwa na mtawala wa zamani wa kijeshi Sani Abacha, zitakabidhiwa kwa serikali ya Nigeria baada ya nchi hizo mbili kutia saini makubaliano.
Balozi wa Marekani nchini humo, Mary Beth Leonard alisema pesa hizo zilikuwa kwenye akaunti za Uingereza lakini...
Habari wanaJamiiForums, habari watanzania wenzangu.
Naitwa suzana, kama mwandishi wa habari wa kujitegemea nimepata Fursa ya kuonana na kuzungumza na binti mmoja, muhanga wa mila potofu (nyumba ntobhu) ambaye amenisimulia mkasa wake. Hivyo nami nauleta kwenu kwani kuna mambo ya kujifunza...
Wataalamu na wasomi na wajuzi hivi kwa bongo hizi dawa zipo.
Watafiti tunaomba dawa ya kurudisha nguo ziwe mpya maana nakumbuka zamani tulivaa nguo hadi ichanike, ila sasa hivi hata ikipauka tu tayari inaonekana chakavu hata kama bado haijaqualify kuwa dekio jipya. Sasa si wengine tunataka...
Siku ya alhamisi nilinunua salio la Tsh. 3,000 kutoka airtel money kwenda Voda. Airtel walirudisha msg kuwa muamala umefanyika na salio wakakata. Vodacom hakukuwa na taarifa yoyote kama muamala umepokelewa.
Napowapigia airtel wanasema kwao muamala ulifanyika niwaulize voda. Voda wanasema...
Huwaga naskia kuna stori kwamba kuna watu huwa wanakuja kusaidiwa huko mbele ya safari na watu wasiowajua ama kujuana kwa mbali ambao waliwahi kuwasaidia kipindi ha nyuma.
Je, wewe ni moja wapo ama una mtu unaemjua uliewahi kushuhudia kaja kusaidiwa na mtu ambae aliwahi kumsaidia na walikuwa...
Wazazi walinihadithia kwamba hapo zamani, wazazi wao wa kiume(babu zangu) walikuwa wanatabia ya kukimbia na kujificha maporini pale ambapo walikuwa hawajalipa kodi ya kichwa, maana familia ilikuwa ni kubwa, na hapakuwa na pesa ya ziada ya kwenda kulipa kodi ya kichwa, hivyo kuna kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.