kuruka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Wakati "Viongozi" wakifikiria kuruka kamba, Majirani wanafikiria Biashara

    Uganda protests Kenya move to dump cargo at Malaba on old railroad MONDAY JANUARY 17 2022 A traffic gridlock at Nzoia bridge on the Eldoret-Webuye highway, as long distance trucks queue from Malaba border to enter Uganda, stretching 67km to Chimoi on January 14, 2022. The railway is the...
  2. Tony254

    Wanajeshi wa Kenya wa kuruka kwa miavuli wameonyesha ugwiji wao. Mambo ya kushuka kwa kamba tumewaachia wengine.

    Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Yajue maeneo matano duniani ambapo ndege haziruhusiwi kuruka juu yake

    1. Antarctica: Antarctica inajulikana sana kwa hali yake ya baridi kali sana ambapo barafu na theluji hulifunika eneo hili kwa mwaka mzima. Eneo hili lina nguvu kubwa sana ya usumaku ambapo huweza kuathiri mifumo ya ndege na hivyo kuisababishia hatari ya kuanguka. 2. The Bermuda Triangle...
  4. mulwanaka

    Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

    ANAANDIKA MH.TUNDU LISSU ------- Waheshimiwa viongozi salaam. Mimi na timu yangu ya kampeni tuko Kilimanjaro International Airport tangu saa nne asubuhi. Tulikuja kuweka mafuta kwenye chopper yetu ili tuweze kwenda Dar kwa ajili ya mkutano wetu wa kufunga kampeni unaotakiwa kuanzia Kawe saa...
  5. VUTA-NKUVUTE

    Uchaguzi 2020 Nawamegea siri: 'Bakuli la Lissu' lijazwe michango, linasaidia kuruka kiunzi kikuu mwaka huu

    Sitaki niwachoshe kwa maneno mengi. Nawaambieni tu kwa kifupi na kwa uhakika. Bakuli la michango analolitembeza mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu si la kubezwa au kumezwa. Yaweza kuwa ni kwa kujua au kutokujua, Lissu anaruka kikwazo kikuu kilichosukwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu: ukata kwa vyama...
  6. Superbug

    Tundu Lissu na kuruka vihunzi

    Maisha ya Tundu Lissu yamejaa majaribu makubwa na vizingiti vingi anavyowekewa na wasiomtakia mema ikiwepo system. Mfano, Walidhani watamshinda kwa hoja bungeni ikashindikana. Walidhani watamshinda mahakamani kwa makesi ikashindikana. Wakaona wamuuwe Mungu akakataa ikashindikana. Wakasema...
  7. R

    Kuruka kwa ungo ni kweli au hadithi za mtaani?

    Wakuu natumaini hamjambo. Naomba mwenye kujua hili suala la watu wanaoruka kwa ungo ni la kweli au ni hadithi za kufikirika tu? Kuna mtu alishawahi kushudia hili na kuchukua ushahidi wa video hapa kwetu Tanzania. Ni jambo linanitatiza ninaposikia hizi hadithi. How do they defy gravity with...
Back
Top Bottom