Hii SGR iliyopo kwenye mipango ya kujengwa ni tishio kubwa sana kwa Kenya. Itagusa moja kwa moja maslahi yake, si kiuchumi tu bali pia kwenye ushawishi na udhibiti wa biashara Afrika Mashariki.
Mradi huu unapunguza utegemezi wa Uganda kwa miundombinu ya Kenya, jambo linalotishia nafasi ya...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kisemavyo naomba ushauri kutoka kwa wajasiliamali/wafanyabiashara wanaoingiza mizigo kutoka Thailand kuja Tanzania, Ni kampuni gani nzuri kwa kusafirisha mizigo kwa njia ya bahari?
Asanteni sana.
Wakuu habari.
Kuna hii Biashara ya kusafirisha mizigo kwenda kusini .
Hii Biashara ipo demand kubwa Sana .
Njia ya kuifanya hii Biashara.
Tunafungua ofisi TEMEKE.
Tuna fungua ofisi nyingine moja Mtwara , na Lindi .
Mfanyakazi mmoja atakuwa anakaa DSM na wengine wawili lindi na mtwara...
Nina ishi Japani
Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena).
Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini.
Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu
Au unaijua kampuni
Naomba tuwasiliane.
Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami.
NB: Nahitaji...
Tanzania imechukua hatua kubwa katika kuboresha miundombinu yake kwa kukamilisha ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR).
Huu ni wakati muafaka wa kuimarisha mifumo ya usafirishaji na kuhifadhi mizigo kwa kujenga Bandari Kavu (Dry Ports) katika mikoa ya Morogoro na Dodoma.
Faida za Bandari Kavu...
Nina muda kidogo nimekuwa mteja wa mabasi kwa kusafirisha vifurushi na mizigo midogo kutokea Arusha kwenda Dar na Morogoro, nimebaini mapungufu mengi na ubora wa huduma kati yao, the best nime baini ni kampuni ya BM ni seme kwanini:
1.Wao hawalazi mizigo na vifurushi endapo kuna basi la...
Wakuu
Nafanya biashara ya kuchukua mzigo Dar. Changamoto ni gharama za usafiri unajikuta faida inaishia kwenye nauli.
Nielekezeni njia rahisi ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza kwa bei rahisi ila uhakika.
Achana na magari vishoka, wale wa kuunganisha unganisha wezi sana.
Hello great thinkers,
Kuna mwenye anajua utaratibu wa kusafirisha mizigo kwa kutumia treni, kutokea Dodoma hadi Dar?
Nmejaribu kupitia kwenye website yao sijapata majibu
Naomba mwenye maelekezo au idea anisaidie.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.