KABAKA28
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 211
- 229
Nina ishi Japani
Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena).
Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini.
Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu
Au unaijua kampuni
Naomba tuwasiliane.
Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami.
NB: Nahitaji kampuni yenye good track record
Pia yenye uzoefu na ku clear vitu bya returning citizen
Asante