kusafirisha mizigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kujenga SGR Tanga hadi Musoma kusafirisha mizigo hadi Uganda ni pigo kwa Wakenya, Kenya itafanya lolote kujaribu kuizuia, Tanzania imejipanga vipi ?

    Hii SGR iliyopo kwenye mipango ya kujengwa ni tishio kubwa sana kwa Kenya. Itagusa moja kwa moja maslahi yake, si kiuchumi tu bali pia kwenye ushawishi na udhibiti wa biashara Afrika Mashariki. Mradi huu unapunguza utegemezi wa Uganda kwa miundombinu ya Kenya, jambo linalotishia nafasi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ipi kampuni nzuri ya kusafirisha mizigo kutoka Thailand kuja Tanzania kwa njia ya meli?

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kisemavyo naomba ushauri kutoka kwa wajasiliamali/wafanyabiashara wanaoingiza mizigo kutoka Thailand kuja Tanzania, Ni kampuni gani nzuri kwa kusafirisha mizigo kwa njia ya bahari? Asanteni sana.
  3. JamiiForums Tanzania TRC kuanza kusafirisha mizigo kesho tarehe 27 Julai 2025

    TRC kuanza kusafirisha mizigo kesho tarehe 27 Julai 2025 https://youtu.be/LWFqjrVKzpM
  4. JamiiForums Tanzania Biashara ya kusafirisha mizigo kwenda kusini ipo na demand kubwa sana tunaweza kuungana kuifanya hii biashara

    Wakuu habari. Kuna hii Biashara ya kusafirisha mizigo kwenda kusini . Hii Biashara ipo demand kubwa Sana . Njia ya kuifanya hii Biashara. Tunafungua ofisi TEMEKE. Tuna fungua ofisi nyingine moja Mtwara , na Lindi . Mfanyakazi mmoja atakuwa anakaa DSM na wengine wawili lindi na mtwara...
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni ya kusafirisha mizigo toka Japani kwenda Tanzania (Dsm).

    Nina ishi Japani Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena). Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini. Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu Au unaijua kampuni Naomba tuwasiliane. Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami. NB: Nahitaji...
  6. JamiiForums Tanzania Wadau nipo Kenya na nimenunua Pikipiki sasa nifanyeje nataka kuja nayo Tanzania

    Wadau nipo Kenya na nimenunua pikipiki sasa nifanyajeee nataka kuja nayo Tanzania. Nifanyaje log book kila kitu ninacho.
  7. JamiiForums Tanzania Maoni: Tatizo la Kujifanya Usalama wa Taifa na Kuongeza Lawlessness

    Tanzania imechukua hatua kubwa katika kuboresha miundombinu yake kwa kukamilisha ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR). Huu ni wakati muafaka wa kuimarisha mifumo ya usafirishaji na kuhifadhi mizigo kwa kujenga Bandari Kavu (Dry Ports) katika mikoa ya Morogoro na Dodoma. Faida za Bandari Kavu...
  8. JamiiForums Tanzania Basi lenye ushawishi na uhakika wa kusafirisha mizigo midogo

    Nina muda kidogo nimekuwa mteja wa mabasi kwa kusafirisha vifurushi na mizigo midogo kutokea Arusha kwenda Dar na Morogoro, nimebaini mapungufu mengi na ubora wa huduma kati yao, the best nime baini ni kampuni ya BM ni seme kwanini: 1.Wao hawalazi mizigo na vifurushi endapo kuna basi la...
  9. JamiiForums Tanzania Njia ya gharama nafuu na uhakika ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza

    Wakuu Nafanya biashara ya kuchukua mzigo Dar. Changamoto ni gharama za usafiri unajikuta faida inaishia kwenye nauli. Nielekezeni njia rahisi ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza kwa bei rahisi ila uhakika. Achana na magari vishoka, wale wa kuunganisha unganisha wezi sana.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa kusafirisha mzigo kwa treni

    Hello great thinkers, Kuna mwenye anajua utaratibu wa kusafirisha mizigo kwa kutumia treni, kutokea Dodoma hadi Dar? Nmejaribu kupitia kwenye website yao sijapata majibu Naomba mwenye maelekezo au idea anisaidie. Asanteni
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta Wakala (Agent) wanao safirisha mizigo kwa ATCL kutoka nje ya nchi kuja Tanzania

    Habari wakuu, Kama kuna mtu anawafahamu ma agent wanaosafirisha mizigo kwa ATCL kutoka nje ya nchi Kuja Tanzania. Tunaomba waorodheshe hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…