kusaga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutoka Maktaba: Mtoto wa Dandu, Joseph Kusaga na Kinjekitile Ngombare Mwiru

    Mastaa walipokutana miaka ya mwanzoni mwa 2000, Mtoto wa Dandu hapo alikuwa star sana, bahati mbaya alifariki kwa ajali ya gari.
  2. Ku collapse Clouds FM, Ni effect ya Ruge au tamaa ya Kusaga?

    Kwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu. Miongoni mwa mikoa ambako Clouds imepotea ni Morogoro, Shinyanga, Kagera, Kilimanjaro nk. Zaidi ya miezi 6 redio hiyo haisikiki humo. Kwa...
  3. Gharama za mashine ya kukoboa na kusaga

    Naomba mchanganuo wa gharama za kupata mashine ya kukoboa na kusaga fully Kwa DSM kwa mahitaji ya kijijini hasa iwekwe mkoa wa Tanga,karibuni wadau wazoefu kwa ushauri mnipe mwanga wa upatikanaji wa vifaa, gharama zake nk
  4. B

    Kuelekea dakika ya tisini: "Maoni ya wanachama yasiposikilizwa, CHADEMA njiani kulia na kusaga meno!"

    Haya si maneno yangu: Yaliwakuta NCCR ya Marando, yakawakuta CUF ya Lipumba na sasa siyo siri, bundi katua chama pendwa. Kwamba ilihitaji kufunga kumwombea mwenyekiti hekima ya mfalme Suleiman aache kuvutaniana mtoto? Looh! Kwani yakitokea huko kwingine nani hakuyaona? Kama ilivyo kwa...
  5. Crusher linaweza kusaga kipande cha dhahabu?

    Ukiweka kipande cha dhahabu (nugget) cha gramu 500 kwenye mawe yanayosagwa kwenye crusher linalosaga mawe yenye dhahabu, hicho kipande nacho kitasagika na kuwa unga?
  6. Endeleeni Kuimba Mitano Tena, Lakini Mtaishia Kulia na Kusaga Meno

    Hivi mmepatwa na nini ndugu zangu Watanzania? Uendeshaji ulio feli wa CCM unaosababisha nchi kuingia madeni makubwa na kuathiri tija kwa taifa hadi nchi kutegemea kuchimbiwa vyoo na nchi wahisani, kutegemea vyandarua vya bure ili kuwakinga na malaria wake zetu wenye mimba nk huku tunaendelea...
  7. D

    Nahitaji kujua juu ya biashara kukoboa na kusaga nafaka (mahindi)

    Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia umeme). Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama...
  8. INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa

    Habarini Wakuu. Mashine ziko Chanika mwisho. Bei ni 13 Million maelewano yapo kidogo, zinatoka zote kwa pamoja. Unapewa Mizani pamoja na mashine ya kufungia mifuko. Naomba kama kuna mdau anahitaji. Anicheki kwenye namba hii 0713888700 au +255620249437 KUSAGA HP 40 KUKOBOA HP 30
  9. M

    Eneo la kuweka mashine ya kusaga na kukoboa

    Habarini wakuu, Katika kujitafuta nimefanikiwa kununua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.Nilikua naomba kama kuna mtu ana eneo sehem yenye mzunguko wa watu wengi au kama kulikua na mashine halaf ikatolewa anijuze ili niweze kuweka hii ya kwangu. Napendelea maeneo ya Morogoro road kuanzia...
  10. A

    Nahitaji mashine ya kusaga na kukoboa unga wa sembe

    Nahitaji mashine ya kusaga na KUKOBOA UNGA WA SEMBE , mashine iwe na uwezo wa kusaga na KUKOBOA Tani 30 Kwa Siku.
  11. Mota ya kusaga mahindi inauzwa

    Habari Mota ya kuzungusha machine ya kusaga mahindi inauzwa. Mota hii ipo kibaha mkpa wa pwani. Ina Hz 50. Bei sh 1..8m. Anayehitaji karibu. 0758308193
  12. Watanganyika fanyeni utafiti watu wanaosema Mitano Tena! Wapuuzeni haraka 2030 mtalia na kusaga meno

    Wanapiga kelele na kusema mitano Tena Hawa hapa. Wapuuzeni na mwaepuke kama ukoma.
  13. INAUZWA Mashine za kusaga na kukoboa Dar es Salaam

    Unahitaji mashine ya kusaga na kukoboa nikukaribishe utazipata kwetu Pia utapewa ushauri mashine ipi itakufaa kutokana na mazingira yako Tunapatikana tabata Namba zetu 0717209569
  14. G

    Vilio na kusaga meno kwa mawakala kupigwa vimezidi, Hapa nimeorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kupunguza utapeli

    Mbinu hizi zinapunguza utapeli sio full proof guarantee, kila muda zinagunduliwa mpya Hapa niameorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kuliepuka hilo:- 01. Usiwe na haraka kwenye kufanya muamala, haijalishi mteja atakuwa na haraka gani. Mruhusu aondoke kama anaonekana ana haraka, kwa...
  15. Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

    Ni Joe Kusaga tena… Waswahili husema mwenye nacho huongezwa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezwa. Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikita zaidi kwenye tasnia ya burudani, Joseph 'Joe' Kusaga yuko mbioni kuja na App itakayokuwa katika mtindo unaoshabihiana na App...
  16. G

    Nakodisha Mashine ya kusaga nafaka

    Nakodisha mashine ya kusaga, ina vinu viwili cha kusaga na kukoboa pamoja na mizani Stoo yaani biashara yote, mahali Kitunda Magole DSM. Sehemu haina mashine jirani. Bei 200.000 kwa mwezi. Nipigie 0754 279035 kwa maelezo zaidi.
  17. Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Wakurugenzi wa Wasafi Media, Joseph Kusaga na Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ wanaripotiwa kukosa maelewano kati yao juu ya uendeshaji wa media hiyo inayomilikiwa na wawili hao. Chanzo ni TRA Diamond ambaye amekuwa akitafutwa na maafisa kodi kwa muda mrefu, huku yeye akitumia 'janja janja'...
  18. S

    INAUZWA Mashine ya miwa mpya na ya kisasa zaidi

    Mashine ya kukamua na kuchuja juisi ya miwa inauzwa Ipo Mbeya Mjini popote inatumwa Bei yake: 1.6 M. 📞📞 & Whasap 0757687358 Whasap & call 0757687358 Specification zake 1.size 48*38*78 2 voltage 220/50hz 3. Three crushing rollers (Stainless) 4. Ipo na 3HP electric...
  19. Harufu ya utapeli, kuna watu watalia na kusaga meno soon

    Kuna mchezo wa watu wanajiita Jumia, wao wanasema wanafanyankazi ya matangazo online. Wanakupa task ya kuweka like kwemye video za youtube then wanakulipa buku (1k). Unatakiwa kufanya task zote, na wanalipa in lumpsum of 10 tasks. Sasa trend nayoiona kila baada ya task mbili kuna task moja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…