kusaga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sundii

    Mashine ya kusaga mahindi na kukoboa

    Samahani wanajanvi. Naomba ufafanuzi nataka kuanzisha biashara ya kusaga na kukoboa mahindi. Hii biashara imesimamaje? Gharama za kuanzisha mashine zikoje? Kuna faida au hasara?
  2. M

    Naomba ushauri kuhusu biashar ya mashine ya kusaga na kukoboa (mahindi)

    Wadau, Ninataka kufungua biashara ya kusaga na kukoboa bagamoyo vijijini. Hapo kijijini kuna mashine moja tu na naona hii ni fursa. Naomba ushauri wapi naweza kununua mashine zenye ubora na pia kama biashara hii inafanida. Shukurani.
  3. Nsanzagee

    Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

    Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika. Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani? Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana. Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran. Naomba kujua...
  4. Hance Mtanashati

    Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

    Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013 ............................ WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo...
  5. U

    Nani hasa ana utajiri mkubwa kati ya Joseph Kusaga DSM na Vicent Laswai Moshi? Nani Fogo

    Imenibidi nilete ubishani huu huku jukwaani kwani hii inaweza kuwafanya vijana wafanye kazi na kujituma na kuweza kujipatia Fedha nyingi nao wakatambulika na kuheshimika kama watu Hawa. Tulikuwa tumekaa kijiwe kimoja na moja ya wadau wa tasnia mbalimbali za entertainment na ukazuka ubishi juu...
  6. J

    Ushauri unahitajika kuhusu Mashine ya kusaga na kukoboa

    Wakuu habari, Ningependa kuomba ushauri na mawazo ya kibunifu kutoka kwenu nifanyeje ili niweze kuongeza uzalishaji kwenye mashine ya kusaga na kukoboa? Mashine hii mwanzoni ilikuwa ikiingiza walau chochote kitu lakini location iliyopo zimeongezeka mashine zingine mbili hivyo hali imekuwa...
  7. B

    Kero gani nitapata nikijenga karibu na mashine ya kusaga?

    Wakuu habari. Nimebahatika kununua kiwanja, viwanja vyetu vya skwata, Ila niliyepakana naye anaweka mashine ya kusaga. Je niendelee na ujenzi wa nyumba ya kuishi, au ni kero gani naweza kupata nikijenga Naomba mawazo yenu
  8. Kichina44

    INAUZWA Mashine ndogo ya kusaga na kukoboa (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu

    MASHINE NDOGO YA KUSAGA NA KUKOBOA (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu nk Mashine MPYA Bei 1,500,000/= Mashine ipo DAR ●Mashine ina pande mbili, upande mmoja ni wa kusaga na upande wa pili ni wa kukoboa. ●Inaweza koboa mpunga, mahindi, n.k ●Inaweza saga mahindi, mchele, manjano, kahawa...
  9. sinza pazuri

    Joseph Kusaga ampa support Mbosso

    Joseph Kusaga ameshea jina la EP ya Mbosso. Ep itaitwa KHAN na itatoka kesho saa 6 usiku.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Mbele kuna Giza nene, Kulia na kusaga Meno

    MBELE KUNA GIZA NENE, KULIA NA KUSAGA MENO! Anaandika, Robert Heriel. Njia imesonga, nuru inazidi kufifia, Kurudi nyuma haiwezekani, mbele nako giza limetanda, twajua tulipotoka lakini hatuna uhakika wa hatma yetu. Pale nguvu zitakapotuisha, akili itakapo poteza uwezo wake wa kufikiri. Nini...
  11. BestOfMyKind

    Wakuu hivi mifupa kwa ajili ya mifugo huwa mnaipata wapi kabla ya kusaga?

    Nina mashine so far nimeburuza mashudu na mahindi, mifupa sijui napata wapi. msaada wadau
  12. Lububi

    Single mothers nawaibia siri nyingine

    Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag. Sababu za wazi baadhi ni : 1. Single mothers wengi wamefikia...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa. Tanzania tutafute mafuta yetu, kuna siku tutalia na kusaga meno

    Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa Tanzania tutafute mafuta Yetu. Kufuatia Mzozo unaoendelea kati ya Ukraine na Urusi bei ya mafuta imepanda na kuvuka dola mia moja kwa mara ya kwanza tangu miaka saba iliyopita, ambapo ongezeko hilo limesababishwa na hofu baada ya mzalishaji mkubwa Urusi...
  14. Jitume Biashara

    INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  15. T

    Operator - Mashine ya kusaga

    Natafuta operator wa mashine ya kukoboa mahindi na kusaga unga. Ina uwezo wa kusaga tani kumi kwa siku. Awe na uwezo wa kufanya mauzo kwa kupeleka kwa wateja. Niko Dar es Salaam, Mbagala.
  16. Baraka21

    Mashine za kusaga na kuchanganya chakula cha mifugo na za kutengeneza Pellets

    Wakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa zinazotumia umeme wa single phase. Sitaki majibu ya agiza China, ninajua China ipo na local zipo nataka hizi...
  17. B

    Kiwanda cha kusaga na kukoboa Mahidi kilichopo Mbezi Louis DSM kinakodishwa

    Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba. Kina uwezo wa kusaga Tani moja kwa kila lisaa. Pia kuna godown/stoo ya kuhifadhi nafaka tani zaidi ya...
  18. T

    Wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine bora zaidi za kusaga nafaka?

    Habari zas sasa, Naomba kujua kutoka kwa wabobezi humu, wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine nzuri kwa ajili ya kusaga na kukoboa nafaka? Aina ipi ya ya motor, na vifaa vingine associated ni bora zaidi? Bei ni kiasi gani, na duka gani ambalo halina vifaa fake na la kuaminika naweza...
  19. Determinantor

    Kuna Siku CCM watalia na kusaga meno

    Kuna siku inakuja naam naiona inakaribia! Tambo za CCM zitatupwa chini na hawataamini kitakachowapata. Siku inakuja Polisiccm wote watashangaa wasiamini anguko lao. Ni suala la muda tu, CCM your days are numbered. Take it from me nawaambia! Kila kitu kitawakataa. Sijawahi kusema neno na...
Back
Top Bottom