kusah

Kushk (Persian: كوشك) is a village in, and the capital of, Kushk Rural District of the Central District of Bafq County, Yazd province, Iran.

View More On Wikipedia.org
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel: Kusah ni mwanaume hasa , yule mwingine nilikosea

    Muigizaji nchini, Aunt Ezekiel, amemmwagia sifa kedekede mumewe, msanii wa muziki Kusah, na kumwelezea kama mwanaume aliyeumbwa mahsusi kwa ajili yake kutokana na moyo wake wa kujitolea na kuwajibika kikamilifu katika familia. Aunt Ezekiel aliyasema hayo jana jijini Arusha wakati wa maandalizi...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel: Nachukia Kuitwa Mshangazi na watu wa nje wakati mume wangu Kusah ananiita Binti yangu

    Mwigizaji na mfanyabiashara maarufu nchini, Aunt Ezekiel, ameonyesha kukasirishwa na vitendo vya baadhi ya watu kumwita jina la "Mshangazi", akisisitiza kuwa umri wake bado ni mdogo na haujafikia hatua hiyo. Akizungumza kwa hisia kali, msanii huyo amewataka watu wa nje kuacha mara moja kumtumia...
Back
Top Bottom