Muigizaji nchini, Aunt Ezekiel, amemmwagia sifa kedekede mumewe, msanii wa muziki Kusah, na kumwelezea kama mwanaume aliyeumbwa mahsusi kwa ajili yake kutokana na moyo wake wa kujitolea na kuwajibika kikamilifu katika familia.
Aunt Ezekiel aliyasema hayo jana jijini Arusha wakati wa maandalizi...