kusahau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. blogger

    Video: Watanzania huwa mna tabia ya kusahau, Prof. Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo aliongea ukweli mchungu sakata la Sukari. Wakamuweka pembeni

    Huwa akijilipua hana breki. Hili la juzi ni kawaida yake.
  2. R

    Lissu, Leo Dkt. Slaa ni rafiki yako, unakuwa mwepesi wa kusahau au ni unafiki kwa vile alikuunga mkono dhidi ya Mbowe? Jikumbushe kidogo

    Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Usianike life style yako mtandaoni, binadamu hana tabia ya kusahau, binadamu hasamehi

    Usimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni. Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni. Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload na kushare. Kuna siku utahitaji msaada post zako mtandaoni zitakuhukumu. Kuna siku utahitaji kazi...
  4. Nelson Kileo

    Nimerudi tena Baada ya Miaka 2 kwa changamoto za kusahau password, hili tatizo JF mlitizame.

    Kwa kipindi cha muda mrefu niliacha kutumia JF almost 1year na baadae kurudi nikawa nimesahau password yangu, changamoto ilikua kubwa zaidi pake ambapo details zangu nilizofungulia account yaani email na password pia kwa wakati huo siku kwenye matumizi navyo. Kitu pekee nilichokua nacho kichwani...
  5. Uwesutanzania

    Leo ngoja nikupe faida za kusahau

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA,. Katika maisha ya kila siku ya binadamu amekuwa ni mwenye kupitia mambo mbalimbali,. Yaani kutenda na kutendwa, kusaidiwa na kusaida, kukosea na kukosewa. Ndipo tumeumbwa na KUSAHAU. Yaani KUSAHAU kutakufanya uwe huru. KUSAHAU kutakufanya uwe mtu mpya kila...
  6. secretarybird

    Tukio gani limekukuta la kusahau kitu ulichokuwa unataka kufanya na unakijua hadi ukajicheka mwenyewe baada ya kumbukumbu kurejea

    Katika maisha kuna muda akili zetu zinasahau vitu vidogo vidogo tunavyovijua ila baada ya dakika chache kumbukumbu hurudi. Kuna stori moja nilishawahi kuisoma humu JF mtu mmoja alienda msituni kutafuta kuni na shoka lake begani lakini alipofika kule alilala kwa dakika 15, alipoamka alianza...
  7. redio

    Wana Simba msiwe wepesi wa kusahau

    Kuna video inayo tembea mitandaoni ikimuonyesha msemaji wa Simba akihojiwa na wanahabari. Akiwa anajibu maswali juu ya malalamiko katika michezo iliyopita ya Simba dhidi ya Azam na Dodoma JiJi juu ya uamuzi mbovu wa marefa uliopelekea wao Simba kunufaika alisema Pale Tff Kuna Sanduku la maoni...
  8. dgombusi

    Je, ni kweli maarifa ya muhimu ndiyo yanayobaki baada ya kusahau unachojifunza shuleni?

    “ Elimu ni kile kinachobaki baada ya mtu kusahau kila alichojifunza shuleni.” Hii ni nukuu maarufu ya Albert Einstein, ikimaanisha kwamba elimu ya kweli siyo tu kukariri au kujifunza mambo kihafidhina, bali ni uwezo wa kutumia maarifa, mantiki, na uelewa ambao mtu anapata kupitia elimu rasmi au...
  9. G

    Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

    1. DAR - ES - SALAAM Majiji Mengine .... 2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili 3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k. 4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
  10. LA7

    Nimeenda sehemu na baiskeli nikaisahau nikarudi na mguu

    Hii hali sio maramoja imekuwa ikinitokea Mara kadha ya kusahau vitu sasa leo nikaenda mgahawani kula baada ya kumaliza kula nikarudi zangu ofisini na mguu. Baada ya kufika ofisini ndo nagundua kwamba nimeisahau nilipokuwa nakula sasa ikabidi niirudie. Kama wiki mbili hivi zimepita nilifika...
  11. Baba Vladmir

    Tambua ugonjwa wa kusahau (Alzheimer's Disease)

    Chembe hai za ubongo (neuronal cells) zina utando unaoitwa Sphingolipids( Haya ni mafuta maalum ya ubongo) na mojawapo yanaitwa Sphingomyelin.. mafuta haya husaidia kusafirisha taarifa ( impulse) ambayo huwa katika mfumo wa umeme( action potential).Taarifa ya kusikia , kuona , maumivu nk...
  12. BabaMorgan

    Tatizo la kusahau kwa kijana

    Nini sababu na tiba ya kusahau hususani kwa kijana? Wakati nasoma nilikuwa bingwa wa kumeza hadi wahuni wangu wakawa wanastaajabu naweza vipi yaani definition hata iwe ni kurasa nzima basi nitaimeza yote bila ya kuacha neno hata moja. Recently nimekuwa mtu wa kusahau ndani ya huu mwaka...
  13. Carasco Putin

    Wale wenye tukio la kusahau tukutane hapa

    Wale ambao wasahaulifu tukutane hapa Mimi kisa cha kwanza nilimsahau demu wangu Prisca upendo lodge pale Kimara Kisa cha pili nilisahau Kadi ya bank na hela laki 2 ATM ya CRDB LUMUMBA Kisa cha tatu nilisahau siku ya interview ya TPDC Kisa cha nne nilisahau kwetu nikaenda kulala kwa jirani...
  14. Lior

    Ni tukio gani la kunusurika usiloweza kusahau?

    Harrison Okene alinusurika kwa siku mbili na nusu akiwa amenaswa ndani ya mashua chini ya bahari, mita 30 (~ 100ft) chini ya maji. Alikuwa mpishi Mnigeria mwenye umri wa miaka 29, akifanya kazi kwenye mashua ya kuvuta kamba ambayo ilikuwa takriban kilomita 32 kutoka pwani ya Nigeria. 2013...
  15. G

    Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima. Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimis touch nikachagua video ya x...
  16. Nsanzagee

    Nchi inaweza kusahau uwepo wa kina Membe na wenginewe wengi ila si kwa watu kama Magufuli n.k

    Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi Watanzania wasipomuenzi Magufuli, Waganda watamuenzi pindi wanapokuwa wakiliona bomba la mafuta kuyoka Hoima kuja...
  17. A

    Hofu yangu katika miezi iliyopita siwezi kusahau

    Habari wanaJamiiForums leo nimeona niweke kitu changu ambacho kilinisumbua miezi kadhaa iliyopita. Niende kwa ufupi niliwahi kuteleza ktk tamaa za vijana na wala sikuwahi kufikiria mbele lakini mwezi wa 10/2023 niliona humu JamiiForums watu wanahimizwa sana kupimwa kujua afya zao na mimi...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Nilichomfanyia Bosi wangu hatakuja kusahau mpaka kifo chake

    Ilikuwa miaka kama 6 hivi iliyopita, watumishi wa kada yetu tulikuwa wachache, muda wa kazi au masaa ya kazi kwa wiki au mwezi yalikuwa mengi zaidi ya yale masaa ya shirika la kazi duniani. Hatukulipwa posho ya muda wa ziada (extra duty allowance). Tulikuwa tunafanya kazi mpaka unahisi homa...
  19. Suley2019

    Je, Kupiga Punyeto kunaleta shida ya kusahau?

    Habari Wadau, Tangu nipo Shule nimekuwa nikisikia hoja ya wadau wakisema kuwa, unapiga punyeto mara kwa mara utakumbwa na shida ya kusahau kusiko kwa kawaida. Upi ukweli wa madai haya?
  20. Ashampoo burning

    Sitokuja kusahau, sitaki huu mwaka 2024 uniharibikie tena

    Huwa napenda kuandika humu kama diary yangu maana Basi nilliwahi andika nikiwa na umri wa miaka 22 nilikuwa nishashika hela nyingi kama million 100 na zaidi kutoka biashara nilikuwa nafanya kkoo ila hizi hela zilikuja kuuvunja moyo wangu mno sitak tena Kwa muda wa miaka sita...
Back
Top Bottom