Waandishi wa Habari wa Tanzania mkitaka Teuzi kwa Awamu hii ya Kulazimisha ya Sita ( wakati Kikatiba bado ni ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ) hakikisheni mnatoke BBC, Azam Media, IPP Media na TSN tu pekee.
Kuna Msemaji Mmoja ( Bingwa wa Majungu ) Serikalini hakupenda Uteuzi wa Mtu na...
Kila siku jaji anaandika na kuweka mafaili lundo. Sasa nauliza tangu kesi ianze mpama leo bado anakumbuama tu aliandika nini na aliandika wapi?
Je, nani wa kuhakikisha kwamaba manavyovisema vinaandikwa. Kama anavitupilia mbali mtajuaje! Kila siku mnaongea na shahidi anatoa ushahidi je Kama...
Habari za Jumatatu wana JF
Kwa ninavyoelewa ndoto zina maelezo tofauti kwa watu tofauti. Kuna fikra kadhaa lakini kubwa ni mbili
Fikra(school of thought) ya kwanza wanasema ndoto ni matokeo ya mawazo yako au mambo unayoyafikiria sana au marudio ya vitu ambavyo ulishawahi kuvifanya zamani...
Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati fulani.
Akiwa kwenye mikutano yake kwa wapiga kura wa Mtama, jioni ya jana ilikuwa zamu ya Nyangao...
Habari!
Kuna makundi 2 kama si 3 yamesahaulika ingawa wanachokitenda hakina utofauti na ushoga.
1. Wanawake wenye tabia za kiume
Hili kundi limekuwa kubwa sana na linakua kwa kasi. Vibinti vinavaa suruali, t-shirt, na nguo zingine za kiume. Hawa hata misibani hawakai kwa wanawake wenzao...
Team inayoongoza msimamo wa EPL ligi ni MANCHESTER UNITED
Top Score anatokea MANCHESTER UNITED
Top assists anatokea MANCHESTER UNITED
Timu ilofunga magoal mengi ni MANCHESTER UNITED
Team yenye hat trick mpaka asaivi ni MANCHESTER UNITED
GLORY GLORY MAN UNITED...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.