kusahau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyafwili

    Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

    Habari wana JF,Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝. Nimekuwa nikijiuliza kama ni kweli mwanamke anaweza kusahau kabisa "EX" wake, hasa anapopata nafasi ya kukutana naye tena. Nimegundua kwamba "EX" wangu wote, hata kama walikuwa na uchungu kuhusu kutengana, kamwe hawakatai kukutana nami...
  2. Clear37

    Ulifanyanini kusahau usaliti uliofanyiwa na mkeo/mumeo?

    Habari Zenu wanajamii,hope mmenusurika na mafuriko,pole Kwa waathiriwa wote.Moja Kwa Moja kwenye mada,katika maisha yetu ya mahusiano asilimia kubwa tumeshakumbana na usaliti Yani kusalitiwa na wenza wetu,awe mume/mke au mchumba tu.Mbaya zaidi Kuna wanaoamua kusamehe na maisha yanaendelea.Kitu...
  3. sky soldier

    Picha: Kuna dawa ipi nzuri ya kusahau haraka?

  4. Mganguzi

    Katika vitu ambavyo hutakiwi kusahau katika maisha yako ni kutoa Zaka, uwe Mkristo, Mpagani au Muislam

    Kama wewe unajua kwamba Mungu yupo! Hakikisha unatoa ZAKA. Fanya utani na masihara kwenye mambo yote lakini toa ZAKA! Babu yangu miaka Kumi iliyopita aliugua tb ambayo ilifanya apofuke macho! Hivyo akahudhuria kliniki na kuchoma sindano 120, lakini Bado hali yake haikubadilika ,naikumbuka siku...
  5. The unpaid Seller

    Ulishawahi kufikwa na aibu usiyoweza kusahau, ilikuaje?

    Peace be upon you all, Miaka kadhaa nyuma wakati nafanya kazi katika shirika fulani la serikali nilisafiri kwenda nchi jirani kikazi kwa muda wa miezi miwili kama project consultant. Wakati niko hapo kwa jirani yetu siku moja ya weekend katika mapumziko mida ya alasiri kuelekea usiku...
  6. GENTAMYCINE

    Mazuzu Mkutanoni wametajiwa Kocha Mpya na Kusahau Kuuliza Maswali na Kuhoji Kupigwa Fedha nyingi

    Injinia una Akili sana yaani ulianza Kwanza kwa Kuwadanganya kuwa mmepata Faida ya Tsh Bilioni 17 na kwamba kwa Msimu ujao mtatumia Tsh Bilioni 20 na ulivyoona hujaeleweka na Wanajipanga Kukuhoji ukaona isiwe taabu. Mazuzu waliojazana Kukusikiliza Ukiwaokota ( Ukiwadanganya ) hawakujua kuwa...
  7. Pang Fung Mi

    Karibu elimu, tiba na uzoefu wa kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvuka changamoto za ndoa, mahusiano na mapenzi

    Hello hello Family! Wasalaam? Nichukue fursa hii kipekee kufungua jukwaa la elimu, kushare tiba, uzoefu, kinga, kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvukq changamoto ndani ya ndoa, mahusiano na mapenzi. Kwa kuzingatia migogoro na mikwaruzano na madhara yake katika jamii. Tafadhari ushiriki wenu ni...
  8. Kamanda Asiyechoka

    Ruzuku na asali za CCM ndio zimetufanya kusahau michango ya makamanda? Hiki kiburi cha muda kitaisha tu

    Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha? Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa? Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
  9. JanguKamaJangu

    Njia nne zinazoweza kukusaidia kuwa na kumbukumbu bora zaidi

    Usahaulifu au amnesia kwa lugha ya kitaalamu ni hali inayosababishwa na mtu kutokuwa na afya ambayo watu wengi huugua bila kujua. Wakati mwingine hugeuka na kuwa ugonjwa unaofahamika kama "Dementia" na kuwa katika aina tofauti. Professor Richard Restak, anayefundisha sayansi ya ubongo katika...
  10. D

    Siwezi kusahau siku niliyofukuzwa kazi nikiwa baa

    Hello wazee na mashangazi, Kuna tukio lilinitokea Mwaka 2021 mwishon tarehe kama ya Leo sitokaa niisahau. Nilikuwa nimekaa zangu Bar nakunywa castle zangu lite na embassy nimekaa na mhudumu tunapiga story za hapa na kule. Mara ghafla nikasikia SMS imeingia Kwa Simu nikasema siisomi Kwanza...
  11. J

    Tukio gani umewahi kufanya ukweni na hutokuja kulisahau?

    Mwenzenu nimewahi kukaa ukweni zaidi ya miezi nane, nikiwa na ujauzito wa miezi mitatu mpaka nikajifungua, nilikuja kuondoka mtoto anamiezi mitatu. Katika muda wote huo niliwahi kufanya tukio ambalo najutia sana ingawa lilitokea kwa bahati mbaya tu. Mume wangu alinikataza kitu fulani nikakubali...
  12. Choosen85

    Ni jambo gani hujawahi kusahau wala kusamehe?

    1. Mwanamke nliyezaa naye tuliuguliwa mtoto akalazwa na tatzo lilikuwa linajulikana maana iyo ilikuwa n mara ya pili, mtoto alifariki nliumia mpk leo sjawai msahau mwanangu, aisee yule mdada akaanza sambaza mi ndo nimemuua mtoto wng. 2. Nilipigiwa cm na ndugu yng kwmb kuna kaz kaniunganishia...
  13. mens12

    Kitu gani huwezi kusahau siku ambayo ulikua unafanya mtihani wa Darasa la Saba? Ndani na nje ya chumba cha mtihani

    Habari wana JF? By make a story short, let jump to the topic. Mimi kitu ambacho sintoweza sahau ni pale mshikaji (Hassan) alikuwa akichungulia majibu kwa jamaa (Boni) wa pembeni alipo mchania mkeka. Ilikua hivi, mtihani wa hesabu. Boni alikua mzuri kwenye hesabu hivyo Hasani akawa anakopi...
  14. UMUGHAKA

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane. Miaka ya fulani baada ya kumaliza shule ya sekondari,niliamua kwenda kumsalimia Ba'mdogo aliyekuwa mkuu wa shule fulani ya sekondari hapo kwenye hicho kijijini. Wana kijiji walikuwa wakimpa heshima kubwa Ba'mdogo kwasababu wanafunzi wote waliosoma...
  15. T

    Dereva wa Bolt, Uber au Tax ni siri gani alishawahi kukwambia abiria hutakuja kusahau

    Great thinker Kama kichwa kinavyosema, ni siri/stori gani hutasahau uliyokutana nayo ukiwa kazini.? Hiki kisa kilimtokea mdogo wangu alikuja nihadithia kama mwezi baada ya kutokea Miaka kama miwili nyuma, alimbeba dada mmoja kutoka club, alikua kalewa ila kwa nje alionekana mtaratibu sana...
  16. sky soldier

    Sitakuja kusahau nilivyozama kwenye penzi zito na binti tuliyejuana kupitia JamiiForums mwaka 2013

    Haya ni maboresho ya uzi niliowahi kuuandika ila niliuandika nikiwa sijatulia na maneno mengi nilikosea kutype, uzi huu nimesahisha maneno na niomeongezea vya ziada. Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuo cha uhasibu Arusha (IAA – Institute of accountancy...
  17. sky soldier

    umewahi kusahau kuwasha ama kuzima pasi, jiko, hita ya maji, rice cooker. n.k na ukaondoka... nini ulikikuta uliporudi ?

    1. kusahau kuwasha kuna siku niliweka mchele kwenye rice cooker nikawasha switch ila pale kwenye rice cooker sehemu ya cook sikubonyeza ,nikaenda kuanangalia muvi kwenye tv ,imefika saa 2 hivi nikasema ngoja nipakue nile nilale, naenda kufunua nakuta mifuta inaelea hakuna kilichopikika na nina...
  18. Saint_Mwakyoma

    Nini nifanye niweze kusahau makosa niliyofanya kwa kujitakia yanayonihukumu kila siku?

    Kwa miaka sasa ninatumia nguvu kubwa kutumia njia mbali mbali japo tu, nisahau makosa yangu yaliyo haribu njia ya maisha yangu lakini naishia kupata ahueni kwa muda tu na baadaye najikuta niko na yale maumivu. Wakuu nisaidieni mbinu mbadala mlizotumia kusahau makosa yenu kwenye safari zenu za...
  19. M

    Kitu gani cha thamani uliwahi kusahau au kudondosha na ukakipata au ukakikosa?

    Habari waungwa sana wa JF Leo nimeona nami nijaribu kushea tukio moja ambalo kila nikikumbuka nabaki kusema ni mungu tu. Siku hiyo asubuhi naelekea stendi kupanda gari ya kuelekea Dar es salaam. Siku moja kabla ya safari nilitanguliza mizigo miwili ya kukaa kwenye buti. Sasa asubuhi nilibeba...
  20. SAYVILLE

    K Vant na tatizo la kusahau

    Wakuu, wote tunajua pombe zina athari nyingi ingawa pia zina utamu wake. Mimi ni mnywaji wa pombe ingawa hazijawahi kunisumbua kwa maana ya kuwa addicted ila nikinywa siku yoyote naenjoy tu. Sijawahi kuwa mpenzi wa konyagi au pombe za aina hiyo. Juzi juzi hapa nilipiga K Vant, ilinipeleka sana...
Back
Top Bottom