Wakuu, wote tunajua pombe zina athari nyingi ingawa pia zina utamu wake.
Mimi ni mnywaji wa pombe ingawa hazijawahi kunisumbua kwa maana ya kuwa addicted ila nikinywa siku yoyote naenjoy tu. Sijawahi kuwa mpenzi wa konyagi au pombe za aina hiyo.
Juzi juzi hapa nilipiga K Vant, ilinipeleka sana...