kusaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi

    Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi MBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Katavi Martha Mariki anechangia mifuko 30 ya Simenti na fedha shilingi milioni Moja kwaajili ya kusaidia ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Mlele Mkoa wa...
  2. JanguKamaJangu

    Serikali ya Saudi Arabia kusaidia matibabu ya kuwatenganisha Watoto waliozaliwa wakiwa wameungana

    Serikali ya Saudi Arabia itasaidia na kusimamia matibabu ya kuwatenganisha Watoto waliozaliwa wakiwa wameungana Hussen na Hassan wenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11 wakazi wa Mkoa wa Tabora ambao wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi...
  3. kmbwembwe

    Miradi ya Marekani ni sawa na kuhonga vigogo hakuna kitu kusaidia maendeleo

    Nimekaa hapa naona TBC marekani eti wametoa bilioni 70 mradi wa mazingira kuhifadhi chimpanzee wa Gombe. Namuona yule mama mzungu wa chimpanzee. Eti ndio msaada wa Marekani. Tena balozi kasema wazi misaada yao ni kusaidia maslahi ya Marekani. Kama kawaida ya misaada ya wamarekani hela...
  4. Kibosho1

    Ufaransa inafaidika nini na Niger mpaka itake kusaidia Ecowas kuvunja mapinduzi?

    Afrika kweli nimeamini tunanyonywa sana, wenye nchi yao wameunga mkono mapinduzi na hawamtaki rais aliepinduliwa. Kwanini nchi nyingine zipangie wananchi hao kiongozi anaewafaa? Kuna nini ndani yake? Ufaransa iko tayari kuisaidi Muungano wa kijeshi wa Ecowas kumrudisha rais, kwanini? Kumbe...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya Kusaaidia Ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] Wilaya ya Mlele. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  6. K

    Kusaidia nchi Je Tanzania tuanzishe mfumo wa seneti?

    Je kwa hili bunge ambalo halisaidii serikali swali ni Je imefika wakati wa kuwa na bunge la seneti? Bunge hili mfumo unaweza kubadilika lakini mifumo ya wenzetu ni sawa na seneta wawili kwa kila mkoa. Hili seneti litakuwa kama thinktank na viongozi ambao hawana ushabiki badala yake ni wataalamu...
  7. C

    SoC03 Njia mbadala zinazoweza kusaidia tatizo la upungufu wa walimu mashuleni

    NJIA MBADALA ZINAZOWEZA KUSAIDIA TATIZO LA UPUNGUFU WA WALIMU MASHULENI. UTANGULIZI: Nchi yetu bado inachangamoto kubwa ya uhaba wa walimu wa shule ya sekondari na msingi.Kwa mujibu wa taarifa ya mwezi wa pili ya wizara ya nchi ,Ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa...
  8. GENTAMYCINE

    Kwa Mazungumzo ayafanyayo sasa Msemaji wa Yanga SC Clouds FM kumbe 'Skudu' kasajiliwa kwa Burudani na siyo kusaidia timu

    "Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliye Studioni sasa Spoti Extra ya Clouds FM. Haji Manara (Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC) hakukosea...
  9. P

    SoC03 Teknolojia inavyoweza kusaidia kutoa mikopo (ya Halmashauri) kwa vijana, wanawake na walemavu na kuwa na urejeshwaji mzuri

    Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2023/24 imeondoa 10% ya kuwakopesha vijana, wanawake na watu wenye ulemavu ambapo wataangalia utaratibu mzuri wa kutoa fedha hizo kama mikopo kwa kuwa kwa sasa walikuwa na changamoto ya utoaji na urejeshwaji wa mikopo hiyo. Nimeona ni vyema niandike kitu ili...
  10. L

    Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania kusaidia kupunguza umaskini

    Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, Mkoani Hunan, sekta ya kilimo ilikuwa ni moja ya maeneo yaliyopewa uzito mkubwa kwenye biashara na makongamano yaliyofanyika sambamba na maonyesho hayo. Licha ya kuwa sekta ya kilimo ni eneo moja...
  11. I

    SoC03 Afya inavyoweza kusaidia taifa kufika katika malengo

    Afya ni muhimu sana katika kuimarisha jamii. Jamii yenye afya bora ina uwezo wa kufanya kazi vizuri na kuendeleza uchumi wake. Afya pia ina athari kubwa kwa maisha ya kila siku ya watu binafsi, ikiwa ni pamoja na uwezo wao wa kufanya kazi, kujifunza na kufurahia maisha. Jamii yenye afya pia ina...
  12. M

    SoC03 Ushirikiano wa Kimataifa unawezaje kusaidia kupambana na Mabadiliko ya tabianchi?

    Na: Mr Potocal Kwa sababu ya athari mbaya inayoonekana katika kuchukua hatua juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, ushirikiano wa kimataifa unahitajika ili kuleta mabadiliko ya kina ambayo yatapunguza uzalishaji wa hewa chafu na kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na mabadiliko hayo ya...
  13. R

    Michael Macharia Njiri (Dj Brownskin) aliyemrekodi mkewe akijiua ashtakiwa kwa kusaidia kujiua

    Michael Macharia Njiri maarufu kwa jina la Dj Brownskin ameshtakiwa kwa kusaidia kujiua kinyume na kifungu cha 225 (b) cha kanuni ya adhabu. Inadaiwa kuwa tarehe 29 Julai 2022, eneo la Kariobangi South, kata ya Buruburu, alitoa usaidizi kwa Sharon Njeri Mwangi ili ajiue. Kwa kosa la pili...
  14. Nyendo

    Wanafunzi wanateseka sana kupata usafiri. Yafanyike haya kusaidia

    Wanafunzi wakilazimisha kuingia kwenye gari konda akiwazuia Wanafunzi wa mikoa yenye idadi kubwa ya watu wanapata tabu kubwa sana wanapotumia usafiri wa umma kwenda shuleni na kurudi nyumbani, manyanyaso wanayokutana nayo wanafunzi kutoka kwa makondakta wa daladala yanawaathiri kwa namna moja...
  15. kocha Nabi

    Kama umekutana na shida ya kusaidia au kusaidiwa pita hapa

    Suala la kumsaidia mtu au watu katika maisha ni jambo la kawaida kwa wanadamu, yaani ni kawaida kwa wanadamu kusaidiana. Kuna baadhi ya watu tendo la kumsaidia mtu au kitu kwao ni kama tendo la ulazima, kwani hata ujizuie vipi lakini msukumo unaotoka moyoni ni mkubwa. Msukumo huo unaweza...
  16. Kiplayer

    Kusaidia binadamu ni kusogeza matatizo/kifo

    Yamenikuta mara kadhaa kila nilipojaribu kutoa msaada kwa ndugu na jamaa mabaya yalinipata. Nimehitimisha kuwa sio kila mhitaji wa msaada ni lazima kumsaidia. Wema unaponza!
  17. Roving Journalist

    Shilingi Bilioni 15 Kusaidia Uhifadhi Nchini

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa na Balozi wa Ujerumani nchini, Regine Hess, wameshuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa Utekelezaji wa Mradi wa Bilioni 15 (Euro milioni 6), Kusaidia Tanzania Kupambana na Wanyama Waharibifu katika maeneo ya Kusini mwa Tanzania. Mkataba huo umetiwa...
  18. v0il0r

    Mtu wa kusaidia kuuza magari, masoko, nina mechanical diploma

    Habari, -> nipo dar (kibamba) Napenda vyombo vya moto kijumla sana, nina ujuzi wa mechanical engineering diploma. Pia nina ujuzi mambo ya marketing (masoko) - online & offline Biashara ya magari ya kununua, kupata mteja, connection za madalali, ninauzoefu... Kwa anayehtaji mtu serious wa...
  19. mshamba_hachekwi

    Njia hii inatumika sana huko ughaibuni kusaidia kudumisha ndoa.....

    Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo...
  20. Mr Pixel3a

    Pasaka hii tukumbuke kuwasaidia wahitaji, yatima na wajane

    PASAKA ni kuyaishi maisha mapya ndani ya kristo yaani utakatifu, wokovu, utuwema, fadhili upendo na matendo mema. Maisha ya Yesu hapa duniani yalikuwa yakutenda mema. Hivyo Basi Tuuishi Ukristo kuwasaidia wengine (mpende jirani yako) Yatima, wajane na wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine.
Back
Top Bottom