kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbowe amedhihirisha kuwa ukipewa nafasi ya kusema na ukasema sana utakosea

    Katika mchakato wa maridhiano baina ya CCM na CHADEMA Mbowe ameonekana kujipa nafasi ya usemaji, ameitumia, ameitumia sana, ameitumia sana kiasi cha kuanza kukokesea. Mfano mzuri ni pale alipofikia kuumuelekeza RJMT aondoe kesi ya Mdee na wenzake vs CHADEMA mahakamani. RJMT anawezaje kuondoa...
  2. Dini/dhehebu isiwe mwamvuli wa kuficha maovu au kusema tunadharirisha dini

    📌Habari wana Jukwaa.... Watu wengi wamekuwa na uelewa mdogo sana na kuanza kutambiana kuhusu dini na mambo ya kiovu yanayoendelea. ▪︎ Iko hivi kwenye uisalamu kuna waisalamu ni washenzi na mafilauni ila kwakuwa uisalam na muislamu ni vitu viwili tofauti. Kwanini na sema ni tofauti ukiwa...
  3. Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

    Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani. Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu. Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi. Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria...
  4. Rais kusema hatoacha kufanya Mabadiliko katika Serikali yake ni Udhaifu usiovumilika na wenye Akili

    Na kwa wenye Akili tukiona Mabadiliko ya mara kwa mara tunathibitisha kuwa huenda kuna Watu wako mahala kwa bahati mbaya / Fluku. Ngoja tuendelee Kunywa Mtori taratibu na huenda Nyama tunazozitaka tutazikuta chini.
  5. Ni dhana potofu kusema Mwanaume hasifiwi Uzuri

    NI DHANA POTOFU KUSEMA MWANAUME HASIFIWI UZURI. NI AKILI NA KAMPENI ZA KISHETANI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Soma Kwa Utulivu. Hizi ni falsafa za Watibeli, Kutoka Nyota yenye mbawa Mbili. Isomwe Kwa hekima Kwa walio na hekima wapate ufahamu. Zipo kasumba nyingi Mbaya katika jamii zetu...
  6. Kusema kuna watu wanamshauri vibaya Rais au wanampotosha Rais ni kumtukana Rais

    Hii kauli imezoeleka sana na watanzania. Ukweli hii ni kumtukana Rais. Maana yake unasema kuwa Rais hawezi kung'amua ushauri mbaya na mzuri. Kwamba wewe umeweza kuona ushauri mbaya aliopokea lakini Rais ana uwezo mdogo wa kutambua mambo hivyo amashindwa kujua zuri na baya!? Wengi wanafikiri...
  7. Ni sahihi kusema nchi inaendeshwa kwa “viclip”/matamko?

    Ni Jambo la kusikitisha na la hatari sana kwenye utawala wa sheria katika zama hizi za upotoshaji wa kimtandao “misinformation era” Teuzi na tenguzi au maTangazo ma kubwa yanayohusu mustakabali wa nchi tunajulishwa kwa barua za msemaji, binafsi nilitegemea liwe Tangazo la serikali “government...
  8. Kuna uwezekano mkubwa Wakenya wanatamani utokee muungano kati ya Kenya na Tanzania ila wanashindwa kusema

    Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania. Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
  9. Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  10. Kusema kweli nikishinda bet sitapokea simu

    Jamani sijui mimi nipoje, sina mpango kabisa wa kupokea simu ikinipongeza eti nimeshinda. Yaani kucheza nicheze mimi alafu watanzania wajulishwe eti nimeshinda. So, habari ndo hiyo! Kama leo utasikia simu ya mshindi ikiita pasipo kupokelewa, jua ni mimi.
  11. P

    Rais Samia anaendelea kuupiga mwingi, wapinzani watakuja kukosa cha kusema kabisa 2025

    Ukiachilia mbali suala la katiba mpya ambalo pia Rais Samia ameahidi kuanzisha mchakato upya, Dkt. Samia Suluhu Hassani baada ya kukamilisha ujenzi wa majengo 80 ya huduma za dharura (EMD), na majengo 28 ya huduma za wagonjwa mahututi, sasa vifaa vimeanza kufungwa ili kuboresha huduma za afya...
  12. CHADEMA wanapaswa kwenda Butiama kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Kwa vile CHADEMA wapo Mara, ingefaa kama wangekwenda kulizuru kaburi la Mwalimu. Kwa sababu inafaa kama watu wanafanya shughuli za kisiasa Mara wapite kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Watanzania,waende kwanza kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Foreigners...
  13. CHADEMA mtatoka na ajenda gani baada ya kurudi kwa mikutano ya hadhara ya siasa

    Kuondolewa kwa zuio haramu la mikutano ya hadhara ya siasa ni fursa nyingine inayofungua milango ya kisiasa kujenga na kumarisha demokrasia ya Tanzania wapinzani wanapaswa kuchanga karata zao vizuri katika agenda watakazotoka nazo. Japo mlikuwa wahanga wakubwa wa utawala wake mnatakiwa kuachana...
  14. Majibu kwa thread, "Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?"

    Miongoni mwa masuala ambayo wamishenari wa Kikristo wanayatumia kupinga Qur'ani Tukufu ni kifungu kifuatacho. "Wanakuuliza juu ya Zul-Qarnain. Sema nitakusomea khabari zake. Hakika sisi tuliuweka uwezo wake katika ardhi, na tukampa njia na njia za kila jambo. Njia moja (hiyo) akaifuata. Hata...
  15. Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

    Quran inasema kwamba jua hutuama kwenye kisima ama dimbwi la matope kazito na asubuhi huamka. Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring): “83-Na wanakuuliza khabari za...
  16. TFF kusema Fei Toto ni mchezaji halali wa Yanga haitoshi, itangaze adhabu kwa wahusika

    TFF ndio baba wa mpira Tanzania, ndicho chombo kikuu cha mpira nchini, ndio wenye mpira wao. Kama TFF imethibitisha kuwa Fei Toto ni mali ya Yanga haitoshi kuishia hapo tu, bali lazima waseme ni nini kinafuata kwa wale wote (kama wapo) waliohusika na kufanya mazungunzo na mchezaji na hadi kumpa...
  17. Siamini kuwa CHADEMA hawana watu wa kusema kwenye mikutano ya hadhara hadi wawasubiri Lissu, Lema, na Wenje

    Hawa vijana wa CHADEMA waliojazana humu na kutoa maneno ya kejeli kumbe ni bure kabisa. Ni bure kiasi kwamba hawawezi kuongea kwenye mikutano ya hadhara na ndiyo maana wameahirisha kuanza mikutano ya hadhara hadi Lissu, Lema, na Wenje waje.
  18. Je, katika mapenzi kwa nini mwanamke aliumbiwa kusema uongo kuliko ukweli?

    Wasalaam JF, Leo nataka niwafungue macho wanaume especially katika muktadha wa mapenzi, mahusiano na ndoa. Mwanamke hana aibu kusema uongo kuliko ukweli na hawataki kukiri makosa kirahisi. The point is wanawake huwa hawana kitu inaitwa commitment kwenye mapenzi, they enter relationship for...
  19. Mamlaka ya Ngorongoro mjitathimi kama mnamsaidia mama au na nyie mnamzuga kwa kusema tu anaupiga mwingi

    Salam wana JF. Nina matumaini yangu wote mpo salama. Napenda kuwaeleza juu utendaji dhaifu wa mamlaka ya Ngorongoro. Jana jioni magari mawili (fuso 1 na basi 1) yalikwama na kufunga barabara, iliyopelekea wageni waliokuwa wanataka hifadhi ya Serengeti kuelekea, Ngorongoro crater, Karatu na...
  20. Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere limepotelea wapi

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa zoezi la kuingiza maji kwenye Bwawa la Julius Nyerere Disemba 22, 2022 badala ya Novemba 2021 iliyokuwa awali. Mheshimiwa Rais pamoja na hatua hiyo muhimu bado kuna mambo ya msingi sana ambayo Waziri wako wa Umeme hajayaweka wazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…