kushindwa kuishi pamoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani ya rafiki au mpenzi wako ilikushangaza mlipoanza kuishi pamoja?

    Wakuu, Mimi kilichonishangaza ni kwamba tukishakula chakula cha usiku, yule jamaa alikuwa anaenda kuosha vyombo muda ule ule, wakati kwetu tulizoea vyombo vya usiku vinapangwa vizuri kisha vinaoshwa asubuhi kabla watu hawajaanza shughuli zao za siku. Kilichokuwa kinanikera ni kwamba...
  2. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ndoa kuvunjika, sheria inasemaje kuhusu matunzo ya mtoto? Ni hiari au ni lazima Wazazi kutunza watoto?

    Jamaa amezinguana na mkewe. Mkewe kakimbilia kufungasha mizigo na vyombo vya ndani. Ameacha amefanya uharibifu kwa kuvunja simu ya msela kwa makusudi. Simu hiyo alinunuliwa na mme wake sasa wakati anaondoka mme alimtaka aiche (lengo mme akague kuona kama kuna ajenda iliyojificha yq yeye...
Back
Top Bottom