Ni tabia gani ya rafiki au mpenzi wako ilikushangaza mlipoanza kuishi pamoja?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Mimi kilichonishangaza ni kwamba tukishakula chakula cha usiku, yule jamaa alikuwa anaenda kuosha vyombo muda ule ule, wakati kwetu tulizoea vyombo vya usiku vinapangwa vizuri kisha vinaoshwa asubuhi kabla watu hawajaanza shughuli zao za siku.

Kilichokuwa kinanikera ni kwamba ukishakula unataka kupumzika na kujiandaa kulala, lakini yeye anaanza kuhangaika kuosha vyombo. Nilikuwa nakereka sana kwa kweli!

Nyie ni tabia gani iliwashangaza mlipoanza kuishi pamoja?
 
Mimi uchafu tu aiseee! Mwanzo wa mahusiano Binti alikuwa msafi sana kwa kumuona Yani ananukia balaa Yani hata tukikutana uwanja wa vita natumia silaha zote Hadi chumvini Yani Hadi kwapa nazichumu🙌.

Ila sasa baada ya kumchukua Binti yule kuishi nae aiseeeee yule Binti kumbe kuoga ni mara moja kwa siku na hapo atapika jasho litamtoka tena aiseeee na akiona amepauka labda mguuni atatema mate atajifuta alafu nguo ya ndani anaivaa Hadi siku mbili🤮🤮.

Wakuu kuanzia siku hiyo yule Binti hamu hata ya kukutana nae kimwili ilipotea nikawa kama nimehasiwa tena nikifikilia nilikuwa nazama Hadi uvinza nilitapika wallah🥹🥹

NB; nilimtelekezea Hadi chumba kwa kutwambia nimesafiri ikawa tumeachana hivyo
 
Yeye alinishangaa mimi kumbe sipendi kupika wala kufua, enzi za mahaba ya kuviziana nilikua namwambia nimepika wali na samaki wa kupaka au natuma picha nimebake boflo na rosti la maini, akawa ananiona mpishi wa dunia, kuuumbe aidha mama au mdada ndio wamepika, hua anasema amepigwa na kitu kizito
 
Hupendi kufua sasa nani atamfulia mume wako ?
 
Ungemfundisha Mkuu

Bila shaka anatokea mikoa ya Kaskazini
 
Yeye alinishangaa mimi kumbe sipendi kupika wala kufua, enzi za mahaba ya kuviziana nilikua namwambia nimepika wali na samaki wa kupaka au natuma picha nimebake boflo na rosti la maini, akawa ananiona mpishi wa dunia, kuuumbe aidha mama au mdada ndio wamepika, hua anasema amepigwa na kitu kizito
Teheeeee kati ya vitu niko makini ni kupika uwa naingia mwenyewe kucheki vitu muhimu kama chumvi na viungo au kama hawapo natoa kitu mwenyewe fasta
 
Back
Top Bottom