BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Sijui ana nini mikononi akila lazima utakuta kamwaga mwaga chakula iwe anakula kwa mkono au kijiko ila pia hana utaratibu wa kunawa mikono baada ya kula
Haipo hivyo Babu 😀😀Nilikuwa nahisi vitu vingine kabisa yaani, siku ukiniletea Kiko nitakusimulia 🤪
Ila hadi sasa sijaelewa
Bora umenipa ufafanuzi, maana mawazo ya Wazee yalienda mbali kabisa 🤭Haipo hivyo Babu 😀😀
Ni kama mtu ametulia kwenye maji akipata hewa safi bila kelele
Yarudishe hayo mawazo sasa😀Bora umenipa ufafanuzi, maana mawazo ya Wazee yalienda mbali kabisa 🤭
Hujambo lakini? Ukipata likizo uje unisaidie shughuli za shamba babu yako 🤗
Nimekemea na pepo lenyewe, umri huu kuwaza hayo ni kujipandisha kisukari tu, maana hata tukiletewa Kiko tunavuta tukitetemeka 🤪Yarudishe hayo mawazo sasa😀
Nafurahi kusikia hivyo, nimeanza kuandaa jembe kwaajili yako. Uje ujifunze Kilimo cha mwaka 47 🤭Sijambo namshukuru MUNGU kwakweli, kuhusu hilo usijali Babu
Ushapata mubabaSikuwahi ona km kuna kitu kinachonikwaza, vyote vinavumilika tu.
Kwanini?Ovyo sana...