Ni tabia gani ya rafiki au mpenzi wako ilikushangaza mlipoanza kuishi pamoja?

Mimi kilichonishangaza ni kwamba tukishakula chakula cha usiku, yule jamaa alikuwa anaenda kuosha vyombo muda ule ule, wakati kwetu tulizoea vyombo vya usiku vinapangwa vizuri kisha vinaoshwa asubuhi kabla watu hawajaanza shughuli zao za siku.
Wewe ndiye ulikuwa dem? Kwamba wewe mwanamke ndiye ulikuwa unakereka?
 
Wakuu,

Mimi kilichonishangaza ni kwamba tukishakula chakula cha usiku, yule jamaa alikuwa anaenda kuosha vyombo muda ule ule, wakati kwetu tulizoea vyombo vya usiku vinapangwa vizuri kisha vinaoshwa asubuhi kabla watu hawajaanza shughuli zao za siku.

Kilichokuwa kinanikera ni kwamba ukishakula unataka kupumzika na kujiandaa kulala, lakini yeye anaanza kuhangaika kuosha vyombo. Nilikuwa nakereka sana kwa kweli!

Nyie ni tabia gani iliwashangaza mlipoanza kuishi pamoja?
Watu wachafu utawajua tu,usafi kwao ni kero.
 
Yeye alinishangaa mimi kumbe sipendi kupika wala kufua, enzi za mahaba ya kuviziana nilikua namwambia nimepika wali na samaki wa kupaka au natuma picha nimebake boflo na rosti la maini, akawa ananiona mpishi wa dunia, kuuumbe aidha mama au mdada ndio wamepika, hua anasema amepigwa na kitu kizito
Uwekee na ndimu chakula kimepwerepweta hivho
 
Wakuu,

Mimi kilichonishangaza ni kwamba tukishakula chakula cha usiku, yule jamaa alikuwa anaenda kuosha vyombo muda ule ule, wakati kwetu tulizoea vyombo vya usiku vinapangwa vizuri kisha vinaoshwa asubuhi kabla watu hawajaanza shughuli zao za siku.

Kilichokuwa kinanikera ni kwamba ukishakula unataka kupumzika na kujiandaa kulala, lakini yeye anaanza kuhangaika kuosha vyombo. Nilikuwa nakereka sana kwa kweli!

Nyie ni tabia gani iliwashangaza mlipoanza kuishi pamoja?
Ulikuwa hujapevuka kiakili,kwenu ndio mlizoea uchafu,vyombo vinatakiwa vioshwe watu wakimaliza kula na si vikeshe kwani vinavutia wadudu kama mende,panda na sisimizi
 
Wakuu,

Mimi kilichonishangaza ni kwamba tukishakula chakula cha usiku, yule jamaa alikuwa anaenda kuosha vyombo muda ule ule, wakati kwetu tulizoea vyombo vya usiku vinapangwa vizuri kisha vinaoshwa asubuhi kabla watu hawajaanza shughuli zao za siku.

Kilichokuwa kinanikera ni kwamba ukishakula unataka kupumzika na kujiandaa kulala, lakini yeye anaanza kuhangaika kuosha vyombo. Nilikuwa nakereka sana kwa kweli!

Nyie ni tabia gani iliwashangaza mlipoanza kuishi pamoja?
Ulikuwa hujapevuka kiakili na bado hujapevuka,kwenu ndio mlizoea uchafu,vyombo vinatakiwa vioshwe watu wakimaliza kula na si vikeshe kwani vinavutia wadudu kama mende,panya
 
sijawahi kuona tabia ya kunishangaza labda kwa kuwa tulikuwa wachumba mda mrefu,kila nikitafuta kasoro siioni
 
bora uliishi naye ujue tabia zake mapema.
au majukumu yalizidi
Mimi uchafu tu aiseee! Mwanzo wa mahusiano Binti alikuwa msafi sana kwa kumuona Yani ananukia balaa Yani hata tukikutana uwanja wa vita natumia silaha zote Hadi chumvini Yani Hadi kwapa nazichumu🙌.

Ila sasa baada ya kumchukua Binti yule kuishi nae aiseeeee yule Binti kumbe kuoga ni mara moja kwa siku na hapo atapika jasho litamtoka tena aiseeee na akiona amepauka labda mguuni atatema mate atajifuta alafu nguo ya ndani anaivaa Hadi siku mbili🤮🤮.

Wakuu kuanzia siku hiyo yule Binti hamu hata ya kukutana nae kimwili ilipotea nikawa kama nimehasiwa tena nikifikilia nilikuwa nazama Hadi uvinza nilitapika wallah🥹🥹

NB; nilimtelekezea Hadi chumba kwa kutwambia nimesafiri ikawa tumeachana h
 
Hapo kwenye vyombo mimi ndio naosha kabla sijalala hao warembo ndio wanashangaa
Hata nikiwa mwenyewe siwezi lala na vyombo vichafu ndani
changamoto ni nafasi kwakweli kama nyumba ni ndogo lazima upate stress.
 
😅😅😅😅 ulikuwa unahisi nini babu? Ulivyozoom umeelewa sasa?
Nilikuwa nahisi vitu vingine kabisa yaani, siku ukiniletea Kiko nitakusimulia 🤪

Ila hadi sasa sijaelewa
 
Back
Top Bottom