Moja ya maeneo tata ya siasa za kimataifa ni kuwa nchi kubwa na zenye uwezo zaidi wa kijeshi zimeshindwa vita katika nchi ndogo katika miaka 50 iliyopita, kuanzia vita ya Vietnam mpaka ya hivi sasa ya Ukraine.
Hapa “kushindwa,” maana ni kushindwa kijeshi, kulazimishwa kuondoka (kama ilivyotokea...