Madaktari naomba niwaulize, kwani miwani sio matibabu ya macho? Kama uono wako unategemea miwani na usipovaa sio tu kwamba huoni bali unaumwa sana na kichwa, kwanini sasa NHIF wanagoma kulipia huduma ya miwani katika vifurushi vyao?
Wiki mbili hizi nimepata mitihani ya kuuguza mzazi wangu na...
Anonymous
Thread
afya
huduma
huduma za afya
kifurushi
kulipia
kupata
kushindwa
malalamiko
pamoja
Chama cha ACT Wazalendo kilijijengea jina kwa kusimama juu ya masuala muhimu na makubwa. Kilitoa chambuzi nyingi juu ya uchumi, hali ya kisiasa na mambo ya uongozi
Hata hivyo chama hicho kimegeuka bubu kwenye suala la Bandari. Chama kimeshindwa kutoa msiamamo wa chama katika suala hilo nyeti...
Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.
Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.
Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.
Pia soma
- Chawa wa Mama wacharuka...
Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la...
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - SERIKALI HAIKO TAYARI KUKWAMISHA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUFIKIA MALENGO YAO
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali inatekeleza jitihada mbalimbali katika kuhakikisha inaweka mazingira bora kwa wafanyabiashara na wawekezaji...
Ninaanze na:
SIASA ZA UJAMAA NA KUJITEGEMEA;
Kwa kifupi siasa hizi za ujamaa ndo nchi ilianza nazo,siasa zilisema njia kuu za uchumi ziwe mikononi mwa umma, biashara zilifanywe na serikali mfano usafirishaji KAUDO ,KAUMA, SHIRECU ,TACOSHIL na ATC etc, mashirika ya biashara mfano National...
Kesi iliyofunguliwa na jopo la wanasheria wazalendo kule Mbeya kupinga mkataba wa bandari kila mtanzania ana hamu ya kufahamu nini kitaendelea mahakamani katika kesi hiyo.
Lkn cha kushangaza media za hapa bongo zimekaa kimchongo, kichawa na kinafiki badala ya kujipanga na kurusha kesi hiyo...
Kuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakili wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka kwa malalamikaji.
Huu mfululizo wa kesi kushindwa tena zenye Maslahi mapana kabisa ya nchi ni madeal ya watu?
Hakuna hata kesi Moja tumeshinda kesi zote ambazo Serikali...
TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.
Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni...
Na hii hali inatokea hata meli ikipinduka umbali mdogo tu kutoka nchi kavu.
watu huwa wanapanik sana meli ikipinduka kila mtu asiejua kuogelea anachowaza ni kupata sehemu yoyote ya kujiokoa.
Kwa wale wanaojua kuogelea hupata mtihani maana meli inapopinduka mnakuwa wengi sehemu moja, shughuli...
Hawa viongozi ni wala rushwa wakubwa wanasababisha wakazi wa eneo lile tuteseke kwa harufu kali sana wakati wa usiku inayotokana na mabaki ya kuku.
Iko hivi...
Nyuma ya kituo cha daladala cha 'Kwa Ndevu', Tegeta kama unaelekea Bunju kuna mtaro mkubwa unaopeleka maji kwenye mto ulio katikati ya...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu.
Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya.
Baada ya...
Ule msafara wa waasi wa Wagner kuelekea Moscow kweli ulitisha japoj wengi wetu tunaofuatilia vyema vita hivi tulijuwa hautofika mwisho wa safari.Namna ambavyo ungezimwa ndio tulitofautiana,ni kwa kupigana au kwa njia ipi.
Ukraine na NATO walishangilia sana na kuanza kuongeza petroli kwenye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023.
Akizungumza kwenye Tamasha hilo linaloashiria Mwanzo wa mavuno, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Namsikia sikia aliyekuwa mgombea Urais 2020 kupitia CHADEMA Tundu Lissu akijisulubu nafsi yake kwa dhana ya kufikirika tu kwamba hakuna hata kiongozi hata mmoja aliyeshinda.
Anayesema haya atambue kwamba:
Siku ya kupiga kura 2020 niliona misululu mirefu sana ya watu wakisubiri zamu zao kupiga...
Ndege inapoondoka Dar es Salaam inajulikana for sure itatua Dodoma muda gani na miundombinu ya uwanja inajulikana.
Lakini Kwa tuliosoma Cuba tunaposikia ndege ya Yanga yashindwa kutua, ndege ya kiongozi mkubwa yashindwa kutua lakini ndege zenye abiria wasio na attention Kwa jamii hazikwami...
hechejohn
Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu..
Bado anataka kuongeza mzigo!!!
Pesa zipo za kutosha lakini zinaibiwa kwasababu ya wajinga kama huyu Kushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.