kushindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiongozi wa Wagner awatukana wakuu wa Urusi, ni wazembe na watasababisha kushindwa

    Mpasuko unaendelea Urusi, asema kuna uwezekano Ukraine wakafaulu kutembeza kichapo kwenye counteroffensive ijayo maana wakuu wa Urusi ni wazembe na wanaondoka na kuacha jeshi likiwa hovyoo. =========== Wagner mercenary chief says Ukraine's counteroffensive could succeed against Russian forces...
  2. Iwe amri vijana wakitaka kwenda vyuoni wawe na ujuzi wowote wa stadi kazi, wahitimu wanaokosa ajira wasio na ujuzi wanatia aibu kushindwa kujitegemea.

    Haingii akilini hata kidogo mtu apambane zaidi kutafuta njia ya kujitegemea kwa kutegemea elimu ya chuoni impe ajira ambazo hazina uhakika huku hana ujuzi wowote wa kumfanya ajiajiri kwa uhakika hata akikosa ajira. Mwenye ujuzi ni ngumu sana kulala njaa lakini mtu hata uwe na masters yako kama...
  3. Serikali kushindwa kulipa malimbikizo ya wafanyakazi ni aibu

    Imekuwa ni porojo tu utumishi huko na hazina. Bora tu kaondoka Jenista maana alikuwa gundu watu hawalipwi madai yao! Hivi Serikali mnawaona wafanyakazi wanyonge au mapoyoyo? Kutwa kujifanya mnaandaa malipo ya malimbikizo na hamlipi? Je, Rais naye anadanganywa kuhusu hili?
  4. Sababu za mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali

    Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali. Baadhi ya sababu hizo ni: 1. Uongozi mbaya: Mashirika ya serikali yanaweza kuingia hasara kama uongozi wake ni mbaya na usiofaa. Wakurugenzi na mameneja wa mashirika haya...
  5. Ushawahi kushindwa kula chakula kwa uchafu wa mazingira au mpishi?

    Kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana, na wao wanaona ni sawa. Kuna sehemu nilienda wakaanza kuandaa chakula, mara nikaona mpishi anapika mara akafutia sufuria na kanga aliyojifunga, nikasema tobaa hiki chakula siwezi kukila tena. Usafi ni muhimu sana kwa mpishi kwani ukizingua kwenye usafi...
  6. Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

    Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini. === Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo. Hata hivyo amesema...
  7. Baada ya Urusi kutumia nguvu zote na kushindwa kufumua Bakhmut, sasa Ukraine kujibu

    Urusi imepoteza zaidi ya wanajeshi 70,000 kwa kujaribu kufumua kamji kadogo ka Bakhmut, imeshambulia kwa nguvu zote na kutupa kila kitu, lakini wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kwa sasa Urusi imekwama kiasi cha kutojua nini cha kufanya zaidi.....kichekesho...hawa ndio...
  8. Adam Mchomvu ana nini hasa dhidi ya Clouds kushindwa kumdhibiti?

    Limekuwa ni suala linalojirudia kila siku kwa Adam Mchovu kama sio kupiga watu basi kutukana ama kufanya mambo ya fedheha. Kushindwa kwa uongozi wa Clouds Fm kuweza kumdhibiti na kumpa adhabu stahiki basi inamaanisha aidha anafanya upuuzi wake kwa baraka za uongozi wake ama ni mkubwa mno kuliko...
  9. Kushindwa kwa Fei Toto ndio nafuu ya ushindi wa soka letu!

    Fei kushindwa soka letu limeshinda! Ukubwa wa jina la Fei alioupata akiwa Yanga ungekuwa silaha ya kuuangamiza mpira wetu 🇹🇿. Kivipi? Kesi/Shauri lake kama angeshinda lingetumika kama kielelezo na mfano kwa Wachezaji mbalimbali kuvunja mikataba yao bila utaratibu. "Mbona Fei alivunja?" Kauli...
  10. U

    Unatatuaje tatizo la Milango ya mbao kushindwa kufunga hasa ikinyeshewa na mvua?

    Nimekuwa nikisumbuliwa Sana na milango kushindwa kufunga hasa ikinyeshewa na mvua, ushauri wenu wadau wa nini nifanye!
  11. Ndege ya precious Air yashindwa kutua Dodoma

    Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua. --- Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea...
  12. Kwanini Baraza la Mawaziri lisivunjwe kwa kushindwa kumshauri Rais?

    Kitendo cha Waziri wa Fedha kukiri kwamba akiba ya Taifa ya Fedha za kigeni ilichotwa na fedha kutumika kwa ujenzi wa Madarasa ni kiashiria cha dhahiri kukosekana fedha katika njia za kawaida (makusanyo ya mapato). Foreign Reserve hutumika tu endapo kuna mkwamo wa kiuchumi na serikali huzitumia...
  13. J

    Mbowe: Watanzania ni Wavivu na Waoga. Wanataka kila kitu afanye Tundu Lissu au Mbowe, hatutafika kwa utaratibu huu!

    Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Watanzania ni Wavivu wanategemea kila kitu afanye Tundu Lisu na Mbowe Kwa utaratibu huu hata Katiba mpya itakuwa ngumu kuupata, amesema Wananchi ni lazima mtumie WINGI wenu kuibana Serikali itekeleze matarajio yenu vinginevyo mtaendelea Kuwa...
  14. Hivi unajisikiaje kushindwa kuwatunza wazazi wako?

    Yaan wamekulea kwa shida, wamekusomesha kwa shida ila kaz uliyopata na tayari una familia inayokutegemea then hiyo familia yako ikakufanya ukashindwa kutunza wazazi au kuwasaidia wazazi, huenda kuna muda wanakusaidia wewe kwa kidogo walichonacho kwa sababu wanaona magumu yako. Unajisikiaje...
  15. Afrika Kusini: Serikali kushtakiwa kwa kushindwa kutoa huduma ya Umeme wa Uhakika

    Makundi ya Upinzani, Chama cha Wafanyakazi na Wamiliki wa Biashara Wameandika barua ya madai kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shirika la Serikali la Eskom, Andre de Ruyter, wakisema kuwa Shirika hilo inakiuka wajibu wake wa kutoa huduma ya umeme. Pia, wameipa Serikali hadi Januari 20, 2022...
  16. M

    Jeshi la Korea ya Kusini laomba msamaha kwa kushindwa kuzitungua drones za Korea ya Kaskazini

    Tofauti kabisa na mawazo ya timu Marekani humu jamvini ambayo hung'ang'ania ushindi hata kama imepigwa za uso, jeshi la Korea ya Kusini limeomba msamaha wa wazi kwa kushindwa kuzipiga drones za Korea ya Kaskazini kwa masaa matano (jana wao wenyewe walisema kwa masaa 7, leo wamepunguza na kusema...
  17. Nadhani sasa naelekea kushindwa haya mapenzi. Sijui shida nini maana mi nimechoka

    Nimeona nami nichepuke kidogo ( nisamehe mpenzi wangu huko uliko nlipitiwa tu na lishetani mbwa hili) Huyu demu nimemnunulia nyama choma ya kuku na ndizi 2. Kisha kanywa na Konyagi nusu Mzinga. Ameenjoy ndo tukaenda kulala lodge. Mi nikaomba angalau nami ninanii...yaani nifanye naye matusi...
  18. M

    Wito wa Maandamano makubwa kulaani Serikali kushindwa kuleta maji ya uhakika kwa miaka 60

    Hivi hii serikali ya CCM iko madarakani kwa Uhalali upi? Miaka 60 ya Uhuru imepiga marktime na kufanya mambo mengi yasiyo ya maana na kuacha mengi ya maana. 1. Hivi Wakati Serikali ya CCM inavumilia ufisadi wa EPA , Rada Meremeta, Kagoda, Richmondi Ndege ya Rais, hizo pesa zisingeweza kusaidia...
  19. Kisa cha Magufuli kushindwa kumuwajibisha Makonda, Ukweli uliofichika sasa hadharani

    Tunaendelea na visa na viroja vya Rais mstaafu JPM. Baada ya kisa cha kumtimua Balozi Ombeni Sefue usiku na kisa cha kumpa masharti Yahya Msigwa aliyekuwa Rais wa TUCTA kuwa atulie asimsumbue sababu anatumia jina la marehemu kwenye vyeti vyake vya kitaaluma, leo nawaletea kisa kingine toka...
  20. Orodha ya Watu ambao hata wakikukosea huwezi kushindwa nao zaidi ya kumuachia Mungu

    ORODHA YA WATU AMBAO HATA WAKIKUKOSEA HUWEZI KUSHINDANA NAO ZAIDI YA KUMUACHIA MUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna watu kwenye hii dunia wamepewa mamlaka makubwa mno. Wanaweza kukufanya Jambo lolote lakini wewe usiwe na chochote cha kuwafanya. Mara nyingi watu hawa unashauriwa uende...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…